Ndio ujue imechokwa!Mimi sio tractor lkini
Ni uhai chakula,watu wanakufa kwa Njaa,kale kwenu!Ila chakula sio kitu cha kumsemea mtu
imekuwaje sasa..?Nlisema Mimi ndio🙂
Haha! hebu nitongozee huyu tujue yupo serious kiasi gani...😎Hayupo serious huyu anatupotezea muda
Wewe domo zege?Haha! hebu nitongozee huyu tujue yupo serious kiasi gani...😎
Hapana wewe ni mke wangu hivyo itakuwa rahisi zaidi ukimalizananae!Wewe domo zege?
Ntumie namba yako niwe nakutumia hela ya kula hotelIla chakula sio kitu cha kumsemea mtu
Huna adabuHapana wewe ni mke wangu hivyo itakuwa rahisi zaidi ukimalizananae!
Yahya unaishi wapi?Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Nikanye!Huna adabu
Uko wapi ? Hamia kwangu nikupe hifadhiEeeh natka kutafuta mchongo huku huku sijawa wa kuenda
Usijali sometimes everyone feels lonely....This is true only a few can understand this
🫂🥺
Kwanini isiwe Leo ? ukiendelea kukaa hapo basi uwe unachangia hata kilo za Michele tofauti na hapo utalamba transformer😁Not today