Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Kwahiyo We kinacho kuuma ni nini kuambiwa ukweli au? Kwani kuna kitu unachangia? Au unakula tu bure? Kama unakula bure hutoi kitu hutakiwi uchukie maana ndo ukweli

Alafu kwani hauna kwenu wewe?
 
Kwetu siendi saizi
 
Back
Top Bottom