Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is true only a few can understand thisHugs dearest
Najua ni vile unavumilia utafanya nn
Lkn binadamu tuhurumiane na kuchukuliana kwenye shida, na changamoto
Kikawaida utahisi kuchoka lkn ikiwa wewe ndo umeeandaliwa kuwa daraja la mwingine kupita basi iwe hivyo usiwe ukuta! Pindi mtu anapohitaji msaada toka kwako
Huna kwenu?Aunty Sina hela Kwa sasa labda unikope ntakurudishia
Itakuwa kamependa chips za hapo!Kwani kuna nini kipenzi mpaka hutaki kuondoka?
mlete kwetu huyu tumlee usiku niwe namtimbia!Huna kwenu?
Nenda kwa miguuAta nauli ya kurudi kwetu sina
wewe si ndo juzi tu ulisema kuzaa ni baraka ama nimekufananisha..?Thank you 🫂🙂
Baby wewe si katili kiasi hichi umevurugwa leoNenda kwa miguu
Ooh simple,Rudi kwako.Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Hayupo serious huyu anatupotezea mudaBaby wewe si katili kiasi hichi umevurugwa leo