Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Hugs dearest

Najua ni vile unavumilia utafanya nn

Lkn binadamu tuhurumiane na kuchukuliana kwenye shida, na changamoto

Kikawaida utahisi kuchoka lkn ikiwa wewe ndo umeeandaliwa kuwa daraja la mwingine kupita basi iwe hivyo usiwe ukuta! Pindi mtu anapohitaji msaada toka kwako
This is true only a few can understand this
🫂🥺
 
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)

Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....

Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?
Ooh simple,Rudi kwako.
 
Back
Top Bottom