Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
King'ang'aMe nabaki tu huku huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King'ang'aMe nabaki tu huku huku
Njoo. Nipo SimiyuAu dada nije huko kwako?!
Nadhani kuna maanjumati!Kwani kuna nini kipenzi mpaka hutaki kuondoka?
Mbali na wapi?Mbona mbali huko
Unataka nikutumie nauli?Na nairobi
Mimi siendiMgeni Siku ya Kwanza (Ni wapi Chimbuko la hili Shairi la Kale)
Mgeni siku ya kwanza mpe mchele na panza; mtilie kifuani, mkaribishe mgeni. Mgeni siku ya pili mpe ziwa na samli; mahaba yakizidia, mzidishie mgeni. Mgeni siku ya tatu jumbani hamuna kitu. mna zibaba zitatu, pika ule na mgeni. Mgeni siku ya nne mpe jembe akalime. akirudi muagane, aende kwao...www.jamiiforums.com
Ili uje kula na kulala bure?Sitakula ntakuja huko
Kama huendi kwenu na hauchangii chochote punguza kula sasa, siyo debe la mahindi unamaliza siku mbili alafu hutaki usemweKwetu siendi saizi
Ili uje kula bure kwangu?Mpaka niage vizuri huku ndo nije