Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Kwa malalamiko haya ni wazi huna mawasiliano mazuri na wazazi wako au hauna kwenu
 
Muda hautoshi...awashe moto.

Kuna habari kama nne week iliyopita.Watu wameuana kisa kugombania ugali,mara zamu ya kupika.
Mambo huanza hivyo.
Ungekuwepo tumtie makofi 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ungekuwepo tumtie makofi 🀣🀣🀣🀣🀣
Nipe mualiko...maisha haya mafupi sana ..kwanini iwe mafumbo.
Why stressess kwa maisha mpaka ifike uwaze mtu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Atachezea makofi mpaka afungue hizo mafumbo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…