Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Wanawake mnanafikiana sana hata huku njiani tunawaona ila hatuwaambiii ukweli.. olewa mumeo akawe rafiki yako acha kuendekeza ushirikinaJamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula ....
NB.(Aliniita mwenyewe)
Ila Mimi nakausha kama sitambui lolote ila moyoni naona aibu....
Hii kusemwa inamaanisha sitakiwi au?