Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Wanawake mnanafikiana sana hata huku njiani tunawaona ila hatuwaambiii ukweli.. olewa mumeo akawe rafiki yako acha kuendekeza ushirikina
 
Wee ulihamia na bag kabisa?
 
Hee, wiki 2 uko kwa rafiki loh. Ana matatizo gani hadi ukae naye siku zote hizo. Huna shughuli ya kufanya? Mambo mengine tunajitakia, unakaaje kwa rafiki wiki zaidi ya moja eti kumpa kampani. Ungekuwa na issue unafuatilia hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…