Nipo kwa rafiki yangu naye ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi hata hela ya chakula

Kwanini hushirikiani na mwenzio ? Kuitwa kwake ndo kwenda kama tegemezi ? Kama umeshindwa kuonesha support yako ondoka urudi unakohudumiwa kila kitu bure , maisha ya sasa hivi ni magumu sana hivyo yakupasa uelewe na ujielewe .
 
Ukuaji mzuri sharti uende sambamba baina ya kuongezeka miaka na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo. Usikue kwa mantiki ya kuongezeka miaka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…