Nipo kwenye basi hili lijamaa linasoma mgs zangu nimegeuza kamera nikalinasa

Nipo kwenye basi hili lijamaa linasoma mgs zangu nimegeuza kamera nikalinasa

kwenyebus ni public space, na hasa kama mtu kasimama nyuma yako hilo tegemea , ushauri just browse other staffs na sio mesages, otherwise weka kwanza vizuio inama, au weka chini ya miguu. maan nyuma ya basi still kuna seat za watu unless ukae mwisho kabisa. utagombana na wengi. Pole sana

Kweli kabisa ulichoongea ndio huwa nafanya pindi nikipanda usafiri wa umma. Huwa nakaa seat ya mwisho kabisa na endapo nitakosa ni bora nisitumie simu hadi nishuke.

Na siku zote hili la mtu kupiga chabo halizuiliki na ni ngumu kuanza kumuuliza mtu aisee.
 
Kwanini usingemwambia huko huko kwenye basi badala ya kuja kumpost huku JF?
si anaogopa..

Ndo tabu ya kuzaliwa Dar hii,

hapo kidume cha bara kiko kwenye ulinzi shirikishi,
huwezi jua,unaweza kuta magaidi ya kibiti yanatumiana message,
lazima tuwe macho mda wote..

Ha ha ha..
 
Sasa mkuu kama huyo unaanzaje kumuuliza wakati wewe umekaa yeye amesimama ,hebu tusaidiane kupeana mbinu basi ambazo kama ni wewe ungezitumia.
Sisi wanaume wa mkoa wa Mara hatunaga muda wa kuuliza,bali tunakuaga na muda wa kutoa onyo kwa vitasa vizito ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo!
 
Kwanini usingemwambia huko huko kwenye basi badala ya kuja kumpost huku JF?
si anaogopa..

Ndo tabu ya kuzaliwa Dar hii,

hapo kidume cha bara kiko kwenye ulinzi shirikishi,
huwezi jua,unaweza kuta magaidi ya kibiti yanatumiana message,
lazima tuwe macho mda wote..

Ha ha ha..
 
Kwanini usingemwambia huko huko kwenye basi badala ya kuja kumpost huku JF?
si anaogopa..

Ndo tabu ya kuzaliwa Dar hii,

hapo kidume cha bara kiko kwenye ulinzi shirikishi,
huwezi jua,unaweza kuta magaidi ya kibiti yanatumiana message,
lazima tuwe macho mda wote..

Ha ha ha..
 
Safi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mrs Van
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom