Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisema umenkubali nilivyo hvihvi sa hv unaanza kuuliza nn[emoji57]Ulimuona huyu bibie kumbe? Ana chura ee?
Sasa mbona na wewe wa Mara umeanza kutumia li.. Si ungeanza kwa kusema ka... Acha uwogaMianaume ya Dar yani ni mioga sijapata kuona,sasa hicho kivulana ndio unaliita lijamaa?sasa ukionana na mijamaa ya huku kwetu Mara utaiitaje?alafu wewe ndiye upo nalo humo ndani ya gari why usilipe vitasa tu mmalizane ili kila mtu afe na chake?au unakaogopa?