Mkuu kwani chura ni inakaa wapi hadi uone ya mtu aliyekaa?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ulimuona huyu bibie kumbe? Ana chura ee?
K'koo!
Waungwana wameshafunika sura yakeWe anika anika watu tu. usishangae huyo ndio mshana sasa.. mi simo
Alivyoshuka huku'muangalia?Mkuu kwani chura ni inakaa wapi hadi uone ya mtu aliyekaa?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
MshanaUnajua huyo jamaa anatumia username gani hapa ?
Sikumwangalia mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1]Alivyoshuka huku'muangalia?
Cc Inna
kwenyebus ni public space, na hasa kama mtu kasimama nyuma yako hilo tegemea , ushauri just browse other staffs na sio mesages, otherwise weka kwanza vizuio inama, au weka chini ya miguu. maan nyuma ya basi still kuna seat za watu unless ukae mwisho kabisa. utagombana na wengi. Pole sana
Kazi kwake. Ngoja ageuzwe kichuguuMshana
HahahahahUna uhakika gani kua hilo unaloliita lijamaa kama linajua hata kusoma?!
si anaogopa..Kwanini usingemwambia huko huko kwenye basi badala ya kuja kumpost huku JF?
Sisi wanaume wa mkoa wa Mara hatunaga muda wa kuuliza,bali tunakuaga na muda wa kutoa onyo kwa vitasa vizito ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo!Sasa mkuu kama huyo unaanzaje kumuuliza wakati wewe umekaa yeye amesimama ,hebu tusaidiane kupeana mbinu basi ambazo kama ni wewe ungezitumia.
Mkuu unaenda mbaali sana, usiingilie uumbaji wa Muumba.Mkuu ebu liangalie vizuri kabla kwanza alafu uniambie
Shingo kamaaa nini sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
si anaogopa..Kwanini usingemwambia huko huko kwenye basi badala ya kuja kumpost huku JF?
si anaogopa..Kwanini usingemwambia huko huko kwenye basi badala ya kuja kumpost huku JF?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kazi kwake. Ngoja ageuzwe kichuguu