Nipo kwenye mahusiano ila mwanaume wangu ana kipato kidogo. Naombeni ushauri nifanyaje?

Hutaki kunukia ki moo mooo!
 
Chochote ukikifanya kwa bidii, utashi na utafiti unatajirika. Ufugaji huishia kuwa viwanda vya usindikaji wa nyama, maziwa hata kusafirisha mazao ya mifugo kama ngozi, nyama, pembe nk. Halafu kwa nini unawaza utakufa kabla yake ? Kwa nini mwanamkenakipata pesa kumzidi mume analeta shida kwa familia ?
 
Ukiweza kukuza kuku 100 chotara au kienyeji una uwezo wa kuuza kwa wastani shilingi elf 15 kuku mmoja kwa bei ya chini sana. 15000 Mara kuku 100 ni 1,500,000/=
Na hawa wastani kifaranga kilichochangamka utanunua kwa elf 4 Hadi elf 5. Ambapo gharama yake ya manunuzi haitazidi 500000. Vyakula utafuga free range zaidi. Pamoja na Chanjo na madawa bado faida ipo
 
Lolote laweza tokea wasi wasi ndio akili wanangu nahitaji wasome nahitaji nae awe na kipato Cha kutosha watoto wasiangaike namuona yupo slowly Sana kwenye kutafuta pesa ata saizi nikimpigia nimwanbie tu Nina shida atakuambia pesa Hana Sasa kama tu anashindwa kunisaidia mimi shida ndogo ndogo vipi hao watoto labda hatumi Kwa sababu anaona Kuna kitu ambacho kinaniingizia pesa anaona Nina pesa lakini akiwa kama mwanaume hatakiwi kuangalia kipato changu inabidi a play part yake kama mwanaume.
 
Unapoteza muda kumshauri mtu mwenye mawazo yake kichwani. We elewa kwake mpesa inafaida na ni biashara kuliko ufugaji.
 
Muwezeshe kwenye ufagaji wake uone kama hizo shida ndogo ndogo na kubwa kubwa hajazitatua.
 
You woman, hadhi yako inahusiana nini na mapenzi? Unataka kumcontrol?

Anyways, kumshauri ni haki yako na ni wajibu pia ila hupaswi kumpangia cha kufanya. Heshimu maamuzi yake na uache ubinafsi wa kujitazama wewe tu!
 
Pengine hakupi kwa sababu ameshagundua unamu undermine.
 
Alfu mkizalishwa mnaachwa mnalalamikia wanaume, Sasa kama wewe uolewe alfu udumu kwenye ndoa kweli? Inawezekana? Hii ni maajabu never happen hiyo kichwa yako umeikalilisha ujinga sana. Hujui maisha wewe, ukiyaelewa maisha jinsi yanavyo badilika kwa haraka tajiri Kuwa maskin huwezi andika huu upuuz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…