Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?
Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha
M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.
Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.
Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!
Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .