Nipo kwenye mahusiano ila mwanaume wangu ana kipato kidogo. Naombeni ushauri nifanyaje?

Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground,though kaanzisha
M.pesa,binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.

Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Ana akili sana kufuga kuna lipa mfano akiwa na ng'ombe wa maziwa wanao toa lita 40 kwasiku achana na wale wanao toa lita 80 kwa siku, ng'ombe wa kita 40 kwa siku akiwa nao 5 lita moja ya maziwa kima cha chini 1,000 kwa siku ataingiza laki 2 anaweza akatunza laki moja kila siku, hiyo laki moja gharama za uendeshaji na chakula nyumbani

Ukiwa na ng"ombe 10 wanao toa lita 80 kwa siku, kila siku huta kosa kutunza laki 5, kwa mwezi hawezi kukosa milioni 15 atakushinda kipato kwa mwezi, kwa mwaka hawezi kukosa milioni 150, vile vile akiwa na ng'ombe 10 wanaotoa lita 40 kwa siku hawezi kukosa milioni 80 kwa mwaka
 
Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground,though kaanzisha
M.pesa,binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.

Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Njoo na mtaji wako kwangu dear mimi sio masai
 
Kwanini unakimbilia mambo makubwa wakati bado haujakomaa kiakili ?
 
Samahani nina swali hivi mjusi amesimama au amelala kwako mleta mada.
 
Mwanamke ambae hana akili kama wewe ni wa kukimbiwa mapema sana! Nashauri jamaa atafute mwanamke mwenye akili na maono ya mbali.

Nipe namba ya huyo jamaa yako nimwambie kabisa bado hajapata mke atafute mwenye maono.
 
Huyo ni yupi sasa? Yule shombe shombe uliyempendea sura akuzalie ila hana hela au huyo ni yule dereva maroli ambaye alikuwa anakupa pesa za vocha tu?

Wewe si ndiye yule nesi uliyekuwa unalipwa posho ya nauli kipindi una shida ya mshahara, ukawa unatumia elfu 50 kwa ajili ya kusuka ili uwapagawishe wanawake wenzako kazini, Siyo?

Wewe ndiye uliyekuwa unatumia mafuta ya kula zaidi ya lita 3 kwa mwezi ukiwa peke yako geto kisa unapenda kuchoma maandazi na kukaanga chips?

Naona sasa hivi mshahara unao mpaka unafikiria mpenzi wako ataishije na watoto wewe ukifa, aiseeee😂😂😂
Stori zako nazikumbuka mtumishi idara ya afya.
 
Asante sana mkuu
 
Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground,though kaanzisha
M.pesa,binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.

Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Nenda equatorial guinea utamkuta mwamba uwe na namba yako 401
 
Daah, pole sana kwa experience yangu na ujuzi wangu wa biashara kusema ukweli biashara ya ufugaji sio biashara ya kufanya, kwa kifupi huyo mshakaji hana akili ya maisha, hii inaweza kuwa mbaya kwenye mahusiano yenu ya baadae katika uhalisia jamaa anazingua hana dira.
 
Kuna mwanaume,tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano,nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi Nina kipato Kwa Sasa ata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu Nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki Aya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground,though kaanzisha
M.pesa,binafsi M pesa napenda lakin mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghari,tumegombana Hadi akaamua anikatie simu.

Yani yeye anapenda kufuga kuku,mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara iyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yani ananichosha na sipendi mawazo yake .
Kadange
 
aisee[emoji47]

anyway skiza, usimkatishe tamaa, just do this, msurport kwenye zote mbili, huku ukimtia moyo na kumpa mawazo ya afanye nini ili azidi kufanikiwa.

then give him a time ku experience hizo zote mbili, ufugaji na mpesa sjui wakala nk. Kile atachoona anakimudu zaidi na kumfanikisha zaidi (achievement) basi mshauri adeal na hicho, then kile ambacho kinampa tu changamoto na hakimpi mafanikio aachane nacho. If anaviweza vyote vizuri na vinamuingizia faida, aendelee navyo vyote, na hayo ni kwa manufaa yenu ya sasa na baadae.

dont be selfish young Lady[emoji53], usijifkilie wewe tu unachopenda, mfikilie na nwenzio anapebda nini then modify it. dudu yake unaipenda ila kazi yake aaah[emoji34]
 
Wewe Kama sio Mnyakyusa basi watu wa kaskazini.
Kiufupi nikuwa umejitahidi kumtawala jamaa inashindikana ndo unajitahidi kuweka sababu za kijinga.
Ushawahi kufanya hiyo biashara ya Mpesa?
Huyu nae ni mke wa mtu na ukute kasoma.
 
Back
Top Bottom