Nipo kwenye mahusiano ila mwanaume wangu ana kipato kidogo. Naombeni ushauri nifanyaje?

Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu, nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki haya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha.

M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakini mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghali, tumegombana hadi akaamua anikatie simu.

Yaani yeye anapenda kufuga kuku, mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.

Natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara hiyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yaani ananichosha na sipendi mawazo yake.
Muhudumie tu Marioo wako ,usikate tamaa mpe msingi wa kufuga kuku ,ng'ombe ,mbuzi nk.
 
Hapo wewe ndio mwanaume, sema tukupe ushauri kuhusu mwanamke wako.
 
Habari, wazazi wako walikosea sana kutozingatia kinga, amini
 
Kwa mujibu wa maelezo yako ume value muoneokano wako na wadhifa wako? Kwani we una muonekano gani na wadhifa gani?

We unafikiri wanaume tunataka muonekano?
 
Ndio umeamua kuja kunisema huku kwa kuamini mm ni mshamba siijui JF??

Nasema hivi nikukukamata nakunyonya "tigo" yako taka usitake maana ninyi wanawake msipofanyiwa ndivyo sivyo mnakuwa na wenge.
Mm passion yangu ni kufuga tu na muda sio mrefu naanza kufuga bundi nimepata oda nyingi sana kuelekea uchaguzi wa mwakani 2025.

Tutaheshimiana tu.!!
 
Ulimtamwa yunye, utige hadh hadhi ,hadh ya nyo*o .

Afu acha usistaduu linapokuja suala la kutafuta pesa, kwa mawazo ya huyo jamaa inaonekana anataka kufanya ufugaji in large scale meaning that hamtoweza peke enu kumanage hio projects, kwa maana hiyo watakuwepo wasaidizi wakurun activities za pale wew kumanage tu unaona shida. Au jamaa kasema utakuwa unalala na vindama seh3mu moja.

Kuhusu risk ,hakuna biashara ambayo haina risks, sinibora hata mifugo ikifa au kuugua unaweza kula nyama yake, hio biashara ya pesa ni very risk kuliko unavofikir a small mistake umeenda. Kuna dada washamuua pale Kibaha kisa pesa za uwakala hizi hiz ila wewe ndio wataka kuweka rehani roho yako huko.

Unahisi ukifungua hio finacial point ndio hadhi yako itakuwa maintained ,Kama unataka kuitwa boss lady dada lenye pesa zake mjini sawa fungua hio FP

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu, nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki haya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha.

M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakini mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghali, tumegombana hadi akaamua anikatie simu.

Yaani yeye anapenda kufuga kuku, mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.

Natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara hiyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yaani ananichosha na sipendi mawazo yake.
Fuga kuku, wapeni vidonge vya kunenepa, wiki tatu unauza.
 
Tafuta mnaye share value huyo achana nae mtasumbuana tu mbeleni. Katika hizo hizo harakati ambazo wewe huziamini kuna utajiri mkubwa sana.

Upande wa mafanikio ya kipato utategemea mindset yake na si shughuli anayoifanya.
 
Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu, nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki haya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha.

M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakini mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghali, tumegombana hadi akaamua anikatie simu.

Yaani yeye anapenda kufuga kuku, mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.

Natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara hiyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yaani ananichosha na sipendi mawazo yake.
achana nae dada yangu, huyo hajielewi mumeanza kubishana kwenye uchumba itakuwaje kwenye ndoa? Ndo tatzo la kupenda watu wa hilo kabila hawajui biashara kabisa wao wanawaza kufuga tu. Nitumie namba yako pm kwa ushauri zaidi.
 
Kabisa! Mwanamke anadhani maono ni kufungua wakala mpesa na tigopesa,..e.tc! Hizi mpesa tigo pesa sijui crdb, nmb wakala zilikua zamani sahizi watu wameshakaba maeneo yenye sehemu inayoweza kukupa nafasi ya watu kufanya transactions za mara kwa mara. Ila kama anataka kufungua na kwenda kupumzika sawa!
Kupata goli la kukuingizia faida nzuri kwa njia ya uwakala ni mtihani kwa sasa.
 
Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia.

Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu?

Au wataishia kayumba tu, nampa mawazo ya biashara hataki anasema yeye interest yake kufuga kwakweli Kwa muonekano wangu na wadhifa wangu sitaki haya mambo yake ya ufugaji Yana Fanya azidi kuwa underground, though kaanzisha.

M-Pesa, binafsi M pesa napenda lakini mambo ya kufuga Fuga sitaki labda ufuge kwaajili ya kula na Sio kuifanya biashara kuu ya kuingiza kipato.

Nikamwambia mimi naku support kwenye upande wa Mpesa na Sio kufuga nunua machine 2 ya NMB na CRDB tengeneza mazingira ya kupiga pesa anasema machine ni bei ghali, tumegombana hadi akaamua anikatie simu.

Yaani yeye anapenda kufuga kuku, mbuzi na ng'ombe mimi nitamuacha jamani!!!

Sasa tutapata fedha kweli dah namuambia mifugo usipokua makini itakufa basi ndo akazidi kukasirika akidai namkatisha Sana tamaa.

Natamani ajue kutafuta pesa kupitia biashara hiyo ya wakala akifungua branch anaweza ku make pesa lakini amekazania mifugo!!!!! Yaani ananichosha na sipendi mawazo yake.
Mwamba Yupo SAHIHI kama unamwacha mwache tu, utakuwa hujaanza wewe kuacha Mwanaume mwenye akili.
 
Wanawake dat within your tax bracket.....
Wewe dada acha ujinga na kumtesa kaka wa watu, katafute wa hadhi yako sababu ungekua na maono ya mbali ungejua kilimo ni rahisi kuscale up kupata fedha zaidi kuliko mobile money....
Halafu kwa maelezo yako wala huna kipato kivile itakua ni hizi gross salary za 2.5M ni vile tu umepata mtu ana kipato cha chini sana unajiona papa...

BOTTOM LINE, MUACHE JAMAA FANYA MAMBO YAKO. ILA JAMAA NI KIAZI, BINAFSI NINGEKUACHA NIJITAFUTE KWANZA
 
Huyo ni yupi sasa? Yule shombe shombe uliyempendea sura akuzalie ila hana hela au huyo ni yule dereva maroli ambaye alikuwa anakupa pesa za vocha tu?

Wewe si ndiye yule nesi uliyekuwa unalipwa posho ya nauli kipindi una shida ya mshahara, ukawa unatumia elfu 50 kwa ajili ya kusuka ili uwapagawishe wanawake wenzako kazini, Siyo?

Wewe ndiye uliyekuwa unatumia mafuta ya kula zaidi ya lita 3 kwa mwezi ukiwa peke yako geto kisa unapenda kuchoma maandazi na kukaanga chips?

Naona sasa hivi mshahara unao mpaka unafikiria mpenzi wako ataishije na watoto wewe ukifa, aiseeee😂😂😂
Stori zako nazikumbuka mtumishi idara ya afya.
Hahahaha.... JF wagonjwa wa akili ni wengi, kumbe na mtoa maada ni mmoja wapo.
Kazi kwelikweli
 
hahaa eti una hadhi! sasa hadhi na VISION ya mwamba wako vinahusianaje? wewe una low iQ sana, empty mindset. kumiliki ivo viji_M-pesa uchwara unazani ndio kufanikiwa kimaisha? inaonekana huna hata IDEA zaidi ya kuiga iga tu mawazo ya wenzio. acha mtu afanye anachokipenda.
 
Wamama huwa mnataka mume ama degree? Mnataka mume ama kipato? Je hicho kidogo anachopata ana moyo wa kusaidia familia?
Ufugaji ni kazi nzuri sana mpe sapota afuge kuku, ng'ombe ama mifugo atakayo kibiashara utanishukuru baadae atapata pesa kuliko wewe. Bibie ukitafuta mwenza usijiweke sijui hadhi yangu utapigwa na kitu kizito kwenye figo.
Hakikisha ako na moyo wa kujenga familia na sio anakuchuna.
Asalamaleko
 
Back
Top Bottom