Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Wakuu kama mada hapo juu.
Tumefika saa mbili lakini zoezi linaendelea hadi mda huu. Wanataka imei number na wamesisitiza hawataki simu za shangazi uje nayo leo na siku za kazi unakuja nq samsung yako s2.
Uhakika wa chaji kutunza ndio msingi wa zoezi
 
Hili zoezi linahusu nini zaidi na malipo yake je..?
 
Wakuu kama mada hapo juu.
Tumefika saa mbili lakini zoezi linaendelea hadi mda huu. Wanataka imei number na wamesisitiza hawataki simu za shangazi uje nayo leo na siku za kazi unakuja nq samsung yako s2.
Uhakika wa chaji kutunza ndio msingi wa zoezi
elezea vizuri kwenye swala la simu. ya shangazi kivipi na samsung s2
 
Kwa wale wale ikiwa wataambiwa wapeleke imei number, ni bora wainakili kwenye karatasi mapema na kuliko kupiga *#06# ili kupata imei no. Kuna mtu simu yake kipindi amepiga hiyo number ikamletea imei na kipindi anaitaja simu iliganda kwa mda kabla ya kuambiwa UI system is not responding. Kwa hiyo aliambiwa apishe wengine kwani mda hautoshi. Tecno hizi basi tu ila sometimes zinaboa kwa kustaki staki wakati wa muhimu
 
Back
Top Bottom