Aisy
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 500
- 1,126
HatariKwa wale wale ikiwa wataambiwa wapeleke imei number, ni bora wainakili kwenye karatasi mapema na kuliko kupiga *#06# ili kupata imei no. Kuna mtu simu yake kipindi amepiga hiyo number ikamletea imei na kipindi anaitaja simu iliganda kwa mda kabla ya kuambiwa UI system is not responding. Kwa hiyo aliambiwa apishe wengine kwani mda hautoshi. Tecno hizi basi tu ila sometimes zinaboa kwa kustaki staki wakati wa muhimu