Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

Hatari
 

hapa kwenye imei wanazihitaji kwa ajili ya nini au ndio huchek specification ya sim yako
 
guys kwa walioenda huko kwenye usahili, vipi kama huna kitambulisho cha kupuigia kura ndo imekula kwako au imekaaje hiyo ?
 
ndio lakini pia kutaka kudhibiti ujanja ujanja wa kubadili simu. Umeenda kwenye interview na simu nzuri yenye uwezo wa kutunza chaji alafu kwenye kazi unakuja na kiswaswadu

kwaiyo muhimu simu kuwa na uwezo mzuri wa charge kuka muda mrefu, na kwenye interview wanaangali au fuatilia kitu gani hasa
 
guys kwa walioenda huko kwenye usahili, vipi kama huna kitambulisho cha kupuigia kura ndo imekula kwako au imekaaje hiyo ?
Kwenye ubao ea matangazo unamaelekezo ya vitu vya kuja navyo kwenye interview na mostly ni Smartphone na Vyeti halisi
 
Tupeni dondoo nasi tujue kinachoendelea, ili tuanze kupasha
 
kwaiyo muhimu simu kuwa na uwezo mzuri wa charge kuka muda mrefu, na kwenye interview wanaangali au fuatilia kitu gani hasa
Wanazingatia hilo kwani zoezi litahusika na ukasanyaji taarifa na kuzipandisha mtandaoni ndio maana wanataka simu nzuri supportive kwa shughuli hiyo.
 
Bora nyie mpo live.huku wilaya ya mkuranga deadline ilikuwa jana lakin kazi zilishaanza kimya kimya kwa watu maalumu na fomu nimepita zipo pale pale ofisini hazijapelekwa kokote.nimepata habari hao wamejitolea bure bila malipo.nchi ngumu sana hii.kazi za bure pia unaweza usipate kama huna mtu wa kukushika mkono.
 
Eeeh huo uzalendo ni zaidi ya raia wa Ukraine walioshika silaha kwa kimkabili adui ambaye wanajua hawamwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…