Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Habarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
Takribani miezi mitatu sasa nimekua na mahusiano na binti flani,nimekua nje ya mahusiano kwa mda wa miak minne,wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengne.Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu

1. Ulikuwa unampa hela au ulikuwa umekalia kumjulia hali tu asubuhi na jioni?

2. Ulikuwa tayari ushamla?

3. Pengine amekinaishwa na uandishi wako huu:

apokei = hapokei
ajibu = hajibu
anijibu = hanijibu
uyu = huyu
akadah = akadai
ili = hili

Hata kama wewe ni Mhaya au Mkerewe, jibidishe sana utambue matumizi sahihi ya irabu za Kiswahili na h- ambayo ni kikanushi katika Kiswahili na unapoiondoa wakati mwingine unapoteza maana kabisa. Pengine binti wa watu ulikuwa unamchanganya na maujumbe yasiyoeleweka...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Habarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
Takribani miezi mitatu sasa nimekua na mahusiano na binti flani,nimekua nje ya mahusiano kwa mda wa miak minne,wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengne.Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.
Mnaishi karibu au mikoa tofauti?[emoji40]
 
1. Ulikuwa unampa hela au ulikuwa umekalia kumjulia hali tu asubuhi na jioni?

2. Ulikuwa tayari ushamla?

3. Pengine amekinaishwa na uandishi wako huu:

apokei = hapokei
ajibu = hajibu
anijibu = hanijibu
uyu = huyu
akadah = akadai
ili = hili

Hata kama wewe ni Mhaya au Mkerewe, jibidishe sana utambue matumizi sahihi ya irabu na h- ambayo ni kikanushi katika Kiswahili na unapoiondoa wakati mwingine unapoteza maana kabisa. Pengine binti wa watu ulikuwa unamchanganya na ma sms yasiyoeleweka...[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu[emoji119][emoji119]
 
Amerudiana na mtu wake wa zamani ambaye amedumu nae kwa muda mrefu akiwa anaongopewa akiudhiwa anakasirika wanaachana wanarudiana wanaachana wanarudiana
Sasa kipindi ulipokutana nae ndio alikuwa ameachana na jamaa
So jamaa kapiga tena uwongo demu kasaundishwa karudisha majeshi
Hivyo huna nafasi tena huna chako

KWA LUGHA NYINGNE HAJAVUTIWA NA WEWE

Hila mademu dizaini wanakuja kukutafuta tena baadae wakishazalishwa wakishakuwa single

ila usiwaze akipata SHIDA YA PESA atakutafuta so na wewe umwambie NJOO UCHUKUE GHETO akija sasa
hapo sasa ndio utajumlishia zile ghalama zote machungu ya kukuchukulia poa nk
Unampakia PUTURU MUNDENDE MCONGO
unaichakata PAPUCHI vizuri mno
 
Mkuu umegundua tatizo lako? Nahisi bado ngoja nikuchane.

Umekaa miaka minne bila mambo ya mapenzi na ulikuwa unafanya mbishe zako maisha yanasonga huna stress. Lakini ukaona ngoja ujiongezee stress kwa kuanza kupenda hovyo, ona sasa ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuteswa na mapenzi.

Nakushauri achana na huyo manzi fanya mambo yako ya muhimu.
 
Wanawake hawapendi watu soft and weak.
Mwenzako keshazoea anatongozwa leo kesho katinduliwa mpaka anashindwa kuamka wewe unakazana na umeamkaje, umelalaje, umeamkaje, umelalaje, umeamkaje, umelalaje.
Kama unataka mapenzi ya aina hiyo tongoza watoto wa form one.
Note: Ikimbie zinaa.
 
Hii ni kweli unamuuluzia hali yake utadhani mgonjwa kalazwa mwaisela
 
Kuachwa Kuna njia mbili.
1.Jumla.
2.Rejareja.

Juu Ya Suala Lako Demu Katumia Njia Namba Mbili kukuacha.

Nimemaliza.
Yani JF ina makatili jamani😂😂😂 ukitaka kuwajua ni kwenye nyuzi za kupigwa chini watu wanakuchana kweri kweriii!

Nimecheka sana japo sio mambo ya kucheka 😂😂😂 ila mwamba kaachwa jumla jumla!
 
Mkuu umegundua tatizo lako? Nahisi bado ngoja nikuchane.

Umekaa miaka minne bila mambo ya mapenzi na ulikuwa unafanya mbishe zako maisha yanasonga huna stress. Lakini ukaona ngoja ujiongezee stress kwa kuanza kupenda hovyo, ona sasa ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuteswa na mapenzi.

Nakushauri achana na huyo manzi fanya mambo yako ya muhimu.
Hahahahah mwamba kapigwa chini kwa style kama ya kukimbia deni kitapeli😂😂😂
 
Back
Top Bottom