Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wacha tuone 😅😅😅 maana shughuli itakuwa pevu! Lazma utembelee ukuta mpaka nje ya jengo na ukifika kwako usingizi wake ni zaidi ya nusu kaputi!Ha ha ha ha ha ha ha ha haki utakimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha tuone 😅😅😅 maana shughuli itakuwa pevu! Lazma utembelee ukuta mpaka nje ya jengo na ukifika kwako usingizi wake ni zaidi ya nusu kaputi!Ha ha ha ha ha ha ha ha haki utakimbia.
Anatia huruma masikiniMapenzi yamekukataa braza,.fanya ishu nyingine kwanza...
Mbona mujibu unayo, yaani mambo yako wazi kabisaa.Habarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
Takribani miezi mitatu sasa nimekuwa na mahusiano na binti flani, nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda wa miaka minne, wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengine. Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.
acha utoto nenda prep kwanzaHabarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
atafute HELAYaani ni mkuu ni kua wewe ndio ulikua unamtafuta kumjukia hali na kumuaga kila siku??
Humpi nafasi hata akumis kidogo na yeye ahangaike kukutafuta aisee hiyo inakera mkuu. Madem ndo wana tabia ya kumtafuta men hovyo hovyo wakipenda sasa we mwanaume kabisa unakua kiroboto kwa manzi lazma umkere tu mapema.
Cha kufanya apo we kausha hadi akutafute yeye tena kama status zake we view tu then unakausha. Huku ukiendelea na mchakato wa kutafuta kipoch manyoya kingine. Ila kama na wewe ndo wale wa nikipenda mmoja ni huyo huyo basi POLE mkuu.
We mwanamke wewe siku nikikushika utaita maji mma[emoji23][emoji23][emoji23] na ntahakikisha neno “inatosha baba”umelitamka,”....“metosha vahba!”
Hebu pangeni kamechi kakirafiki rafiki kimasikhara sikhara hivi halafu mje mtupe mrejesho tuone nani alisarenda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ha ha ha ha ha ha ha ha haki utakimbia.
Ngoja tupange ka JF Derby ketu 😅 tutawapa mrejesho HannahHebu pangeni kamechi kakirafiki rafiki kimasikhara sikhara hivi halafu mje mtupe mrejesho tuone nani alisarenda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Itapendeza sana [emoji122]Ngoja tupange ka JF Derby ketu [emoji28] tutawapa mrejesho Hannah
Nisije nikafinyia kwa ndani ukaanza kupiga makelele tu nikaonekana nakuua.Wacha tuone [emoji28][emoji28][emoji28] maana shughuli itakuwa pevu! Lazma utembelee ukuta mpaka nje ya jengo na ukifika kwako usingizi wake ni zaidi ya nusu kaputi!
Usicheke nione huruma na mimi...Hahahaha
Mwache mkuu stress za nini jiaminiHabarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
Takribani miezi mitatu sasa nimekuwa na mahusiano na binti flani, nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda wa miaka minne, wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengine. Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.
Takribani mwezi Umepita kuna Tabia ilitokea kwa huyu Binti ndani ya muda wa Siku Kama tatu nilikuwa natimiza majukumu yangu katika mahusiano kama kumjulia khali Asubuhi na pia kumtakia Usiku Mwema na kujua ni Siku yake imeishaje lakini ndani ya siku kama tatu niliyatimiza haya ila hakunijibu Simu zangu. Siku Ya nne nilimpigia simu nikaongea nae akadai kwamba alikua anaumwa, nikamweleza angenipa taarifa ila kutokujibu wala Kupokea simu zangu si jambo jema. Tuliongea hayo yakaisha.
Tatizo lingine limejitokeza leo ni Takribani siku ya nne Nimejaribu kumpigia simu hapokei, namtumia sms anazipata lakini hajibu na whatsap pia namtumia na anazisoma na anaweka mpaka sTatus ila hanijibu.
Hivyo nilikua naomba Ushauri, nichukue hatua gani katika hili Suala.
Hahahahah kitendo cha kupiga mayowe nakisikia kwa watu tu anaetakiwa kulia ni manzi 😂😂😂Nisije nikafinyia kwa ndani ukaanza kupiga makelele tu nikaonekana nakuua.