Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Kaka tangu uachane na mapenzi miaka minne nyuma siku hizi hizo za umeamkaje haziwi kila siku sana.

Siku hizi kutuma sms sana siyo kipimo cha upendo ila unaonekana una wivu wa kutaka kujua mtu alipo kila saa.

Pia kanuni iko hivi;

Kama umesmash mara tatu hauna sababu ya kulilia huyo mtu kwakua mara tatu ni kipimo sahihi kwamba tendo liliridhiwa. Kama mara tatu hazijatimia jikaze zitimie halafu escape.
 
Amerudiana na mtu wake wa zamani ambaye amedumu nae kwa muda mrefu akiwa anaongopewa akiudhiwa
unaichakata PAPUCHI vizuri mno
Upo sahihi sanaa mkuu, kuna demu wangu hua tunagombana haswaa ananambia ana move on naona kabisa kapata mtu ila nikirudi anytime hawezi kugoma kurudi kwangu ata iweje!
 
Comrade kwenye hiyo miaka minne vipi ulikua unachakata papuchi? Technically umerudi kuwa bikira kabisa, ndo maana hata kitu kidogo kama hicho umeshindwa kujiongeza. Pole.
 
Usisumbuliwe kichwa na mwanamke wee kijana. Au umtoka seminary weye
Ulikosea sana kumuweka akaanza madharau huyo mapema ilifaa umfue kama chuma aingekudharau abadani
 
Back
Top Bottom