Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

NO LOVE IN DIS WORLD LOVE YOUR SELF AND LOVE YOU ARE PARENTS INLY THEM HAVE TRUE LOVE.
SHOWER THEM WITH GOOD THINGS,MONEY,TAKE THEM DIFFERENT PLACES BUT GIRLS MARRIES THEM AS COMPANION BT LOVE NOPE UKIPENDWA PENDA UKIZIRIWA KUWA BUSY UKIFURAHIWA FURAHI THAT'S IT.
 
Hayo mahusiano ya kujuliana hali kila siku ni boring na hayakuwa deep..

Kipindi chote ulichokuwa naye.. umeshindwa kumchota kihisia umfanye ajiconnet na wewe emotionally akupende na kukuheshimu.

Kama kweli unampenda .. kata mawasiliano sasa..
kutunza heshima yako (kuendelea kumcontact mtu aliye kimya ni sawa na kujipendekeza - kujishushia heshima).

achana naye ! Hadi atakapo kutafuta yeye mwenyewe. (Chance ni ndogo)

Kwa ufupi akiona simu zako anaona kero, na ukituma sms ni usumbufu pia tena kama nyinyi madogo wa siku hzi mnavyopenda ku double text!!!!

Focus kwenye vitu vya msingi , malengo na ndoto zako... jitengenezee mazingira ya kujithamini wewe kwanza!!!

Miaka minne bila patner kwa hiari au ulikuwa huna, ndio umembahatisha huyu anayekuzinguwa???

Move on ...to the next one!
 
Lpve ipo sema anayekupenda kweli.. yawezekana humpendi!!
 
Hii ni kweli unamuuluzia hali yake utadhani mgonjwa kalazwa mwaisela
Convo be like..

Mocker: Mambo
Pisi : p

Mocker: unaendeleaje na hali?
Pisi: vzr

Mocker: Mambo mengine vipi lakini?
Pisi: xafi

Mocker😱k nimekumixx
Pisi: mmmh!

Mocker: mbn unaguna? 13:10
Pisi:

Mocker: mbona kimya? 13:25
Pisi:


Mocker: hello 13:50
Pisi:

Mocker: mambo baby? 15:30
Pisi:

Mocker: umeshindaje ? 17:04
Pisi:
 
Unachosema ni kweli jamaa itakuwa anatabirika sana yani katengeneza hiyo pattern 😂😂😂
 
Ukiona hivo jua mahusiano yake mengine yanafanya vizuri.
Halafu hakupendi, kuchat na mtu usiyempenda haina raha kabisa, ni kero na ni usumbufu.
100% correct!!!
 
Mapenz usyape nafac kubwa kwny maisha take it easy aspokjb ingia tinder,taged chat utjbiw usforce afu kubali ukweli kua hakupend
Nimeshaukubali ukweli,maisha lazima yaendelee
 
nikaanza kumtumia txt nyingi inaonesha anazipokea lkn hazijibu,
Next time ukitakata kuwa na serious relationship acha hizi tabia za wavulana mkuu,

Kumtext mtu 24/7 na simu kila mara haina maana kwamba ndio ina imarisha upendo!!

Unless labda kama yeye/mwanmke ndio yupo intersted kuchat yaani anakuchatisha!!

Alivyokwambia unalalamika sana - ni kwasababu hujiamini, na unatabaia ya kuwa king'ang'anizi..

kutokujiamnini kwako kulikupotezea confidence kwenye mahusiano na

kama huna confidence huyo du wako hawezi kukuheshimu na kama hakueshimu automatically hawezi kukupenda tena ...!!
 
Kwa hiari
 
Kweli Nouma sikujibiwa siku tatu yan
 
Kaona hamna jinsi ya kukutoka ila akupige fix tu! Ila mwisho atakuja kurudi huyo demu amini kwamba. Yakimshinda huko alikoenda atarudi mbio kwa kujifanya kafikiria kaona muendelee tu kama hatarudi untafute unipe mrejesho!
Atarudi endapo tu jamaa ataamua kukaa kimya na kujiheshimu (kupunguza kiujpendekeza) kwa huyo du,
 
Hapo ujue hakuna mtu umeachwa kimasihara,mtumie kama elfu 50000 hivi labda atasema sikua na vocha na ataanza kujibu kama sms kumi then kimya tena
 
Sasa hapo ushauri wa kitu gani tena?
Hapo kuna jamaa anamtanulia kila siku na wewe anaona aibu kukuchana ukweli. Cha msingi umwahi kumchana yeye kuwa from now onwards hataona sms yako wala calls zako. Then hata atume sms ya matusi au dharau usiisome ifute na usiijibu.
Siku wakigombana na huyo Mpemba atakukumbuka.
Hapo akija mgonge kisha mwache.
Kudadeki, dawa ya moto si maji bali moto.
Mimi mademu wapumbavu nimewaumiza sana
 
Dawa yao ndio hio hio unamuweka kwenye “Disposable bay” akijileta unagonga af mikausho mikali! Tena unamuita geto kibabe sana maana atakuja kwa kujipendekeza kupitia backdoor huku kainamisha uso chini kwa aibu we unamvuta unaitwanga mbususu kisha unafanya kama unajikuna hivi😂! Unampumzikia tu no love...
 
Hawa viumbe ukiwa ndezi wanakupeleka kwelikweli.
Anaweza akakuacha akakurudia, anakuacha anakurudia.
Mmoja alinifanyia upuuzi huo , kaniacha kiaina siku kaachana na mpenzi wake akajipendekeza, nikampa, nikamkopa laki 5 imetoka hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…