Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Namba ashadelete, “The sender is not in your contact list” naona ameanza kumove on taratibu....Ila nimegundua tatizo la jamaa kuchwa..Kwa mwendo huo ataachwa sana, labda ajirekebishe mocker
Tatizo ni lipi? mkuu ili niweze kujirekebisha Uko Mbeleni nitakapo amua tena kurudi kwenye Maswala ya mahusiano.
 
Kaamua kutafakari maisha yake, sasa na wewe tafakari maisha yako. Sidhani kama umemkosea jambo,angekueleza. Ni namna tu ameamua kuyafanya maisha yake kuwa rahisi kwa namna yeye ametaka.vivyo hivyo nawewe ufanye maisha yako kuwa rahisi kwa namna vile ipasavyo kwa kumuacha aende.

Namna yoyote ya kujilaumu au kufanya mahusiano yaendelee utafanya maisha yako ya furaha kuwa magumu.

Mimi naona ili upate amani,usithubutu kumjibu.fanya kama hujaona kitu.atajua ujumbe umefika atakapoona humtafuti tena.

Nakuomba uachane nae...
Hiki kipigo kwa kichina kinaitwa Tai Chi 😂😂😂 demu anakuacha kwa gia ya kuokoka!!!
 
Wewe haujawahi pewa mfinyo na kuchezewa hivo vi chuchu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwahiyo mwisho wako wa kusikia tu umewadia, mayowe utapiga wewe.
😂😂😂😂😂😂 hii kaliii hebu ninywe maji kwanza nimezee!
 
Hakupendi.... Mtu asiyekupenda hata story na ww anakosa hata majibu yake yanakuwa kifupi fupi tu. Kwa ujumla anakuona kero kwake.
Kwa mtu anayempenda mambo yanakuwa kinyume.
Kuna sign ilibidi uzisome mapema, wakati mwingine mtu anaweza kukubali tu ili kusogeza siku au apate huduma flani kutoka kwako hasa pesa. Na si kwamba kakukubali kisa nae kakupenda.
Akija pata mtu anayempenda anakupotezea kimya kimya kama hivyo.
Anaweza kuja kukutafuta tena skiwa na shida au akitendwa huko alipo. Napo tarajia hiki tena kujirudia.
Cha kufanya usiendelee kujidhalilisha acha kupiga simu wala kutuma text. Mtu asiyeweza kuheshimu hisia zako hata kiungo uongo ni kuepuka. Akijirudisha omba mzigo piga halafu endelea kumuangalia kama kabadilika.
Aendelee kumuangalia au afuate mambo yake
 
1. Ulikuwa unampa hela au ulikuwa umekalia kumjulia hali tu asubuhi na jioni?

2. Ulikuwa tayari ushamla?

3. Pengine amekinaishwa na uandishi wako huu:

apokei = hapokei
ajibu = hajibu
anijibu = hanijibu
uyu = huyu
akadah = akadai
ili = hili

Hata kama wewe ni Mhaya au Mkerewe, jibidishe sana utambue matumizi sahihi ya irabu za Kiswahili na h- ambayo ni kikanushi katika Kiswahili na unapoiondoa wakati mwingine unapoteza maana kabisa. Pengine binti wa watu ulikuwa unamchanganya na maujumbe yasiyoeleweka...[emoji1][emoji1][emoji1]
Daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom