Kaamua kutafakari maisha yake, sasa na wewe tafakari maisha yako. Sidhani kama umemkosea jambo,angekueleza. Ni namna tu ameamua kuyafanya maisha yake kuwa rahisi kwa namna yeye ametaka.vivyo hivyo nawewe ufanye maisha yako kuwa rahisi kwa namna vile ipasavyo kwa kumuacha aende.
Namna yoyote ya kujilaumu au kufanya mahusiano yaendelee utafanya maisha yako ya furaha kuwa magumu.
Mimi naona ili upate amani,usithubutu kumjibu.fanya kama hujaona kitu.atajua ujumbe umefika atakapoona humtafuti tena.
Nakuomba uachane nae...