GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa Pombe na Wines za Ulaya na Marekani.
ANGALIZO
Fursa hii murua ni kwa Marais wote wa Duniani na siyo wa nchi unayoijua Wewe, sasa Wewe Shoboka nikupe za Uso!!
ANGALIZO
Fursa hii murua ni kwa Marais wote wa Duniani na siyo wa nchi unayoijua Wewe, sasa Wewe Shoboka nikupe za Uso!!