maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Nafikiri dawa siyo kuwasomesha sababu elimu ya siku hizi hata MTU awe na PhD hana msaada kwenye jamii sababu wengi hata hawajielewi. Ndio maana kila siku viongozi wanatafuta degree za heshima wakishaona hawawezi ku-lobby wazipate darasani.
Cha msingi ni kuhakikisha hatuwaweki uongozini wale ambao hawajitambui kwa kulinda kura na kupigia wanaostahili na wenye talanta ya uongozi
Cha msingi ni kuhakikisha hatuwaweki uongozini wale ambao hawajitambui kwa kulinda kura na kupigia wanaostahili na wenye talanta ya uongozi