GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Mchunie 'nilishamweka' hivyo anaweweseka tu nami sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchunie 'nilishamweka' hivyo anaweweseka tu nami sasa.
Ndio maana yakeKwamba unasema Africa ng'ombe ndo inachunga kundi la masai porini?
Sielewi hii mantiki ya jambo kusemwa na mtu mzima anayejitambua kisha lawama wapewe washauri wake.Mimi bado sitaki kuamini washauri wake ndo walichomtuma aseme, itakua hata wao wamebaki kushangaa usiku mzima
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.Sielewi hii mantiki ya jambo kusemwa na mtu mzima anayejitambua kisha lawama wapewe washauri wake.
Hiyo yote ni kutaka kukwepesha lawama kwa mtu anayezistahili.
Alichokisema ni mawazo yake na ndivyo alivyo.
Naam. Watu wanarusha lawama kwa washauri alimradi 'kumlinda' kwa makosa anayoyafanya kwa makusudi huku akiwa timamu.Nakubaliana nawe 100% Mkuu.
Kazi tunayo.Ndio maana yake
Akielekea kwenye majani mengi maasai nae anafuata huko huko
DuhSielewi hii mantiki ya jambo kusemwa na mtu mzima anayejitambua kisha lawama wapewe washauri wake.
Hiyo yote ni kutaka kukwepesha lawama kwa mtu anayezistahili.
Alichokisema ni mawazo yake na ndivyo alivyo.