GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa Pombe na Wines za Ulaya na Marekani.
ANGALIZO
Fursa hii murua ni kwa Marais wote wa Duniani na siyo wa nchi unayoijua Wewe, sasa Wewe Shoboka nikupe za Uso!!
Mimi bado sitaki kuamini washauri wake ndo walichomtuma aseme, itakua hata wao wamebaki kushangaa usiku mzima
The problem of Africans is that those with power have no ideas, and those with ideas have no power."Ukimya Si Ujinga,,,na Kelele Si Werevu"
Kwamba unasema Africa ng'ombe ndo inachunga kundi la masai porini?The problem of Africans is that those with power have no ideas, and those with ideas have no power.
Sawa MuisraeliThe problem of Africans is that those with power have no ideas, and those with ideas have no power.
gentleman,Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa Pombe na Wines za Ulaya na Marekani.
ANGALIZO
Fursa hii murua ni kwa Marais wote wa Duniani na siyo wa nchi unayoijua Wewe, sasa Wewe Shoboka nikupe za Uso!!
GACHAGUA the sixthgentleman,
si ungeanzisha kozi ya udereva tu ndio inafahamika ni taaluma yako na ingependeza zaidi...
vinginevyo,
hiyo kozi ya maraisi,
ukikutana na Rais wa manzese kwa mfano atamaliza kozi kweli bila ya kukutungia wimbo wa hip-hop?
Rais wa wasafi yule hana shida sana🐒
Hapana, washauri wake wana ujasiri wa kumshauri chochote vile kwasababu wanajua upeo wake mdogo. Fikra na maamuzi yake yanategemea moja kwa moja fikra za wengine.Mimi bado sitaki kuamini washauri wake ndo walichomtuma aseme, itakua hata wao wamebaki kushangaa usiku mzima
faceless and useless deputy president and very weak kingpin of Nyeri 🐒GACHAGUA the sixth
Reasoning capacity inaonekana iko down below🤣Hapana, washauri wake wana ujasiri wa kumshauri chochote vile kwasababu wanajua upeo wake mdogo.
Uelewa wake duni unafanya kazi ya wapinzani wake kuwa nyepesi kabisa.
Naomba kazi ya ualimu kwenye chuo hicho....Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa Pombe na Wines za Ulaya na Marekani.
ANGALIZO
Fursa hii murua ni kwa Marais wote wa Duniani na siyo wa nchi unayoijua Wewe, sasa Wewe Shoboka nikupe za Uso!!
Trump anauliza kutaka kujua gharama za kozi na huduma za hostel!Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa Pombe na Wines za Ulaya na Marekani.
ANGALIZO
Fursa hii murua ni kwa Marais wote wa Duniani na siyo wa nchi unayoijua Wewe, sasa Wewe Shoboka nikupe za Uso!!