Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

kapita hapo koba kabana au Jeco pale
 
umelala wapi, hizo ni changamoto za mikoa yote, mi nina uzoefu huko, na recommend sehemu njema za kulala, ni OLD BOMA HOTEL Home - The Old Boma Hotel, Mikindani, zingine check hapa https://www.tripadvisor.com/Hotels-g1047925-Mtwara. Night club njema jaribu kwanza Copa-Cobana, Leopard, Triple V baadaye utanishukuru, hiyo Shooters ni ya kwaida.
 
Now unaongea point, nadhani umepata picha sasa ya kitu kinachoongelewa kama ni hivyo sawa. Lakini kiujumla mambo ni mengi kuna mwingine haraka haraka atasema eti tunajikweza kwa standard hapana. Kama mimi ni Mtanzania wa kawaida mno nimetokea mkoa wa kimaskini Kigoma. Nimeishi Geita, Mwanza, Bukoba, Morogoro, Dar es salaam, Dodoma, Tabora kwa nini nije niuseme mkoa wa Mtwara. Ni simple logic kwamba kuna mambo ya Kweli

Mimi ni bachelor, huwezi amini nimespend kama miezi mitatu kupata mgahawa ambao una chakula atleast chenye ladha ya kusema hapa wanapika vizuri, hii imenipa picha ya moja kwa moja sema sio vitu vya kuongelea sababu vingine vitakera wenyeji. Ila kiukweli Mtwara ni mji wa kitofauti sana.
 
Mengi uliyoongea ni kweli na nimejionea.
 
Serikalini ifanye Nini??? Ama ikuelekeze hotel za hadhi yako zenye maji na chakula? Haujui Kama ndege zinashuka umeamua kupanda bus sio? Ama ulitaka usafiri wa kugombania Kama wa G/mboto?? Otherwise ni fursa hizo zitumie......
Hotel zipo kuna tiffan kuna naff beach hotel zipo nyingi za kutosha pesa yako tu kule ukijenga nyumba inalipa tofauti na kingine chumba cha bei nafuu 30k kwa mwezi na iko ni cha kawaida ila chumba standard ni kuanzia 50k na kuendelea tofauti na mbeya chuma kizur 20k
 
Kwetu sio mtwara ila hapo manispaa ukimuulizia nafahamika sana au nikutajie na watu wake katibu wako wa afya najua upo hapo hospital ya likombe bila shaka
Imebid nicheke tu, sasa kufahamika kwako huku kunahusiana na nn na huu uzi! Ila waty wa jf bana😄
 
Usafiri kusema shida uongo usafiri mkubwa wa mtwara ni bodaboda popote unapo enda ni buku up buku jero kwa usafiri wa haraka
kwa hiyo kutoka nanguruwe hadi mtwara mjini ni Buku/ unajua shida ya usafiri kwenye hiyo njia ya Newala tandahimba. unajua shida watu wa nanyamba wanayopata kwenda mjini? mtiniko je, au mnivata? au unajua shida ya watu wakitaja? unajuwa watu wa Litumbo hakuna hata bajaji wala daladala. mtwara sio pale mjini siju shangani au ligula tu
 
Mgahawa ukishame mgahawa kwa mtwara kupata chakula good ni ngumu kule mgahawa wanajua ni special kwa watu wa hali ya chini so wanapika kulingana na wateja wao

Fika pale mnarani sheli ukuta wa chuo uhuria kile pembeni kuna kihotel kidogo kwa maisha yako itakufaa wanapika good
 
Unapata faida Gani kudanganya, wapi utakosa vibanda vya wakara wa pesa mtwara?.
 
Serikalini ifanye Nini??? Ama ikuelekeze hotel za hadhi yako zenye maji na chakula? Haujui Kama ndege zinashuka umeamua kupanda bus sio? Ama ulitaka usafiri wa kugombania Kama wa G/mboto?? Otherwise ni fursa hizo zitumie......
We mburura hapa yanazungumziwa maisha ya kawaida ya mtanzania..mambo ya hotel yamekuja vipi hapa!!
Serikali ijenge miuondombinu imara!
Soma uzi uuelewe sio unapayuka tu ku comment utumbo
 
Mimi nimeongelea kwa upande wa mjini kutokana na mtoa mada kusema yupo mjini mkuu
 
Imebid nicheke tu, sasa kufahamika kwako huku kunahusiana na nn na huu uzi! Ila waty wa jf bana😄
Umeona kila kitu kwako unakichukulia negative nimejaribu kuongea kuonyesha tu napafahamu vizuri ilo tu ila wewe umechukulia upande wa negative kuwa najimwambafai sio ivyo boss
 
Familia 🤝🏾🙏
 
Nikipata usafiri wangu ndo ntazoea! Usafiri shida sana huku boda boda unamtafuta kwa Tochi.. muda unamuhitaji akuwaishe Hahaha unampigia anakwambia yupo kwenye mashamba ya chunvi😄 yani ni vioja kuna siku hadi nililia
Wewe ni muongo sana sijui unapata faida ipi kuzusha habari labda lengo upate sifa za wapuuzi wenzio humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…