Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiji la mnyarukolo chalamilaNdo wapi mkuu?
Tena hata taka wahame huo mjiMimi naungana na shemeji kusema “utazoea tu”. Itakuchukua muda ila kuna siku utashangaa umeshapazoea kabisa.
Tulia uko uko mzee mbn ata bahari uko ipo we imarish powerful 😂😂😂Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Kwa tutake radhibwana Ntwaara baah. Yaan wewe uje kwetu hamuna hela mfikie loji za chee uanze kuisema ntwara etu.Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Tena hata taka wahame huo mji
Bhaaaa🤣🤣Kwa tutake radhibwana Ntwaara baah. Yaan wewe uje kwetu hamuna hela mfikie loji za chee uanze kuisema ntwara etu.
Kwanza ukifika Dangote palee, msijute ukaja shuka nkindani unaiona bahari. Tena ukute bamvua sasa.
Nkanaledi sawa, si kama mwananyamala ama temeke enu huko.
Ukiingia njin sasa, ukaenda shangani una kula upepo wa bahari tu. Uje polisi mesi ama jeshini ni maupepo tuuuuuu. Unakunywa konyagi hata ulewi baaa.
Tunakula korosho asikwambie mtu, ngoja uanze pata shoo za mumeo ndo utaelewa zile bao nzitooo kama volkano.
Ntwala kuchereeee baaa.
Unafanya kazi gani?Nina ki vespa changu mbona nkienda likizo nikurudi nakuja nacho😄
Uzi ufungwe.Tatizo mnaenda mikoani na picha ya Dar
😂😂😂😂watu hawazoei dodoma ndio watazoea huko umakondeni, cant be serious
😂😂😂😂 ila watu mna manenoNoti za huko chakavu!!!
Niliendaga lindi, asee!!! Yaani noti ambayo hata konda wa daladala hapa dar ataikataa kule dukani eti inapokelewa, na chenchi unarudishiwa.
Miji ile sijui watu hawatembei, yaani hela zimechakaa maana yake mzunguko wa hela ni humo humo tu.
Yaani hata ukisimama katikati ya mji wa lindi, ukiamua kurusha jiwe kuelekea upande wowote litadondokea porini.
Yaani kamji kama kiberiti.
😂😂😂😂😂Kuna watu wa aina ya mleta mada wao wakiamua kukataa jambo wamelikataa.
Huyu anaonyesha tangu alipochaguliwa akafanye kazi mtwara akili yake tayari ilishakataa kwenda mtwara hata kabla hajagusa mtwara.
Hapo Kila kitu anachopitia anakiangalia kwa jicho la negativity. Mtu wa aina hii hawezi kuona Jema akiamua kukataa.
Kuna jamaa yeye hawapendi wachaga,ikatokea ametembelea Moshi,alikuwa anatukana Kila kitu na kukandia Kilimanjaro. Mtu anachukia hadi ukungu wa asubuhi eti haoni watu!!
Dodoma kuna kuku watamu sana kwenye bar zaoKwa sisi ambao tumetembea sehemu nyingi hii nchi,karibia Kila sehemu kunafanana fanana. Mabadiliko ni machache mno mkoa kwa mkoa. Na mtwara imepazidi sehemu nyingi tu siyo kubaya kihivyo.
Kuna dada yeye ametokea kupachukia Dodoma vibaya mno. Ukimsikia anavyopaponda Dodoma unaweza sema huko mahali ni kuzimu na wanaoishi huko ni mashetani.
Dodoma hii hii ambayo Kuna nyuzi kibao humu ndani zinapasifia Kuna/kumejengeka.
Pakoje???huyu aki enda shinyanga ata pigana 😆🤣
Hapa kwenye kulia!Nikipata usafiri wangu ndo ntazoea! Usafiri shida sana huku boda boda unamtafuta kwa Tochi.. muda unamuhitaji akuwaishe Hahaha unampigia anakwambia yupo kwenye mashamba ya chunvi😄 yani ni vioja kuna siku hadi nililia
Na mji kujaa waislam hawajui kupika?Now unaongea point, nadhani umepata picha sasa ya kitu kinachoongelewa kama ni hivyo sawa. Lakini kiujumla mambo ni mengi kuna mwingine haraka haraka atasema eti tunajikweza kwa standard hapana. Kama mimi ni Mtanzania wa kawaida mno nimetokea mkoa wa kimaskini Kigoma. Nimeishi Geita, Mwanza, Bukoba, Morogoro, Dar es salaam, Dodoma, Tabora kwa nini nije niuseme mkoa wa Mtwara. Ni simple logic kwamba kuna mambo ya Kweli
Mimi ni bachelor, huwezi amini nimespend kama miezi mitatu kupata mgahawa ambao una chakula atleast chenye ladha ya kusema hapa wanapika vizuri, hii imenipa picha ya moja kwa moja sema sio vitu vya kuongelea sababu vingine vitakera wenyeji. Ila kiukweli Mtwara ni mji wa kitofauti sana.
😂😂😂😂😂😂Hongera mtwara hadi hewa ni ya chumvi
Zaidi ya local, japo sinywi au matumizi ya kilevi chochote, ila pako boring.Pakoje???