Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

😂Chinga mbona mbio kupalinda nyumbani ?
 
Tafuta maisha acha Anasa.

Mbona ukiwa Dar hatukuoni ukienda Samaki samaki na Diamond??
 
Noti za huko chakavu!!!

Niliendaga lindi, asee!!! Yaani noti ambayo hata konda wa daladala hapa dar ataikataa kule dukani eti inapokelewa, na chenchi unarudishiwa.

Miji ile sijui watu hawatembei, yaani hela zimechakaa maana yake mzunguko wa hela ni humo humo tu.

Yaani hata ukisimama katikati ya mji wa lindi, ukiamua kurusha jiwe kuelekea upande wowote litadondokea porini.

Yaani kamji kama kiberiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…