Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee au unataka niongee kilugha mm nimekaa sehemu nyingiila wamakonde kwa kukana kabila lenu.
Mwingine namjua kabisa huyu Ni Chinga eti anajidai Mpare.
Namuunga mkono kwenye bodaboda kuna siku basi la kwenda mbeya nusura liniache nilimpanga bosa aje anichukue nilikofikia shangani nampigia simu eti anajibu nimelala nikatoka mdogo mdogo sikukutana na boda hadi nilipokaribia makutano ya barabara ya kuelekea mkanaĺed na ile ya shangani.Kusema mtwara maji shida kwamba wanategemea maji ya mvuo ni uongo
Usafiri kusema shida uongo usafiri mkubwa wa mtwara ni bodaboda popote unapo enda ni buku up buku jero kwa usafiri wa haraka
Viwanja vipo vingi sana ujatembea kuna leopard pili msimbati ukienda utatamni kwenda kila siku
Chakula kuwa shida ni uongo sema huna hela ni kweli vitu viko juu sana ila pesa yake kuipata sio ngumu kama unajua kutafuta pesa ila kama unategemea mshahara mtwara hapakufai toka
Kusema saa tatu watu hamna ni kweli watu wa mtwara wanapenda kutulia sana hasa nyakati za usiku mwisho saa moja kutokana na alshababu kuvamia wanaotoka msumbiji ndio maana now mtwara ukitaka kutembea tembea na batua ya utambulisho wa mtaa wako ukikutwa na polis usiku unabebwa kama ulivyo unahisiwa wewe ni alshababu so watu wanakaa majumbani kwasababu
Kuna watu wa aina ya mleta mada wao wakiamua kukataa jambo wamelikataa.Kusema mtwara maji shida kwamba wanategemea maji ya mvuo ni uongo
Usafiri kusema shida uongo usafiri mkubwa wa mtwara ni bodaboda popote unapo enda ni buku up buku jero kwa usafiri wa haraka
Viwanja vipo vingi sana ujatembea kuna leopard pili msimbati ukienda utatamni kwenda kila siku
Chakula kuwa shida ni uongo sema huna hela ni kweli vitu viko juu sana ila pesa yake kuipata sio ngumu kama unajua kutafuta pesa ila kama unategemea mshahara mtwara hapakufai toka
Kusema saa tatu watu hamna ni kweli watu wa mtwara wanapenda kutulia sana hasa nyakati za usiku mwisho saa moja kutokana na alshababu kuvamia wanaotoka msumbiji ndio maana now mtwara ukitaka kutembea tembea na batua ya utambulisho wa mtaa wako ukikutwa na polis usiku unabebwa kama ulivyo unahisiwa wewe ni alshababu so watu wanakaa majumbani kwasababu
Kumbe shida ni ukilaza wako. Unamtafuta kwa Toshiba. Toshiba ni nini?Nikipata usafiri wangu ndo ntazoea! Usafiri shida sana huku boda boda unamtafuta kwa Toshiba.. muda unamuhitaji akuwaishe Hahaha unampigia anakwambia yupo kwenye mashamba ya chunvi😄 yani ni vioja kuna siku hadi nililia
Miji ya kusini Umwinyi mwingi, unamkuta kijana mdogo asubuhi tu kakupigia msuli na kibaraghasia kavalia upande haendi kazini, unafikiri wateendeleaje bila kufanya kazi ?.. labda kwa sasa kuna wimbi la wahamiaji Wasukuma wafugaji huenda wakaiinua mikao hiyo watapolima na kuzalisha chakula kingi..Mtwara ingeishaga kuwa jiji kubwa siku nyingi tu, sijui ni kwa nini huo mji haukui wakati una vichocheo na mvuto wa kuwa jiji kubwa kusini mwa Tanzania
Ukifika Lindi uendage Kuchele beach kwa Dr. Bora na ulale one night utanishukuru baadaeNoti za huko chakavu!!!
Niliendaga lindi, asee!!! Yaani noti ambayo hata konda wa daladala hapa dar ataikataa kule dukani eti inapokelewa, na chenchi unarudishiwa.
Miji ile sijui watu hawatembei, yaani hela zimechakaa maana yake mzunguko wa hela ni humo humo tu
Tena umenikumbusha ngoja nim heki demu wangu mmakonde yule anajua kugegedanaUnachakata watoto wakimakonde
sehemu mbaya.Kuna watu wa aina ya mleta mada wao wakiamua kukataa jambo wamelikataa.
Huyu anaonyesha tangu alipochaguliwa akafanye kazi mtwara akili yake tayari ilishakataa kwenda mtwara hata kabla hajagusa mtwara.
Hapo Kila kitu anachopitia anakuangalia kwa jicho la negativity.
Kuna jamaa yeye hawapendi wachaga,ikatokea ametembelea Moshi,unaaambiwa alikuwa anatukana Kila siku na kukandia Kilimanjaro. Mtu anachukia hadi ukungu wa asubuhi eti haoni watu!!
hao mamwinyi ndio kikwazo cha maendeleo huko kusini mwa Tanzania, wabadilike waache uvivuMiji ya kusini Umwinyi mwingi, unamkuta kijana mdogo asubuhi tu kakupigia msuli na kibaraghasia kavalia upande haendi kazini, unafikiri wateendeleaje bila kufanya kazi ?.. labda kwa sasa kuna wimbi la wahamiaji Wasukuma wafugaji huenda wakaiinua mikao hiyo watapolima na kuzalisha chakula kingi..
Mtwara Kuna shida kubwa ya maji na yote aliyosema mtoa mada ni ya ukweli mtupu labda kama wewe ni mzawa wa huko hizo kero unaziona ni sawa kwakoKusema mtwara maji shida kwamba wanategemea maji ya mvuo ni uongo
Usafiri kusema shida uongo usafiri mkubwa wa mtwara ni bodaboda popote unapo enda ni buku up buku jero kwa usafiri wa haraka
Viwanja vipo vingi sana ujatembea kuna leopard pili msimbati ukienda utatamni kwenda kila siku
Chakula kuwa shida ni uongo sema huna hela ni kweli vitu viko juu sana ila pesa yake kuipata sio ngumu kama unajua kutafuta pesa ila kama unategemea mshahara mtwara hapakufai toka
Kusema saa tatu watu hamna ni kweli watu wa mtwara wanapenda kutulia sana hasa nyakati za usiku mwisho saa moja kutokana na alshababu kuvamia wanaotoka msumbiji ndio maana now mtwara ukitaka kutembea tembea na batua ya utambulisho wa mtaa wako ukikutwa na polis usiku unabebwa kama ulivyo unahisiwa wewe ni alshababu so watu wanakaa majumbani kwasababu
Kwa sisi ambao tumetembea sehemu nyingi hii nchi,karibia Kila sehemu kunafanana fanana. Mabadiliko ni machache mno mkoa kwa mkoa. Na mtwara imepazidi sehemu nyingi tu siyo kubaya kihivyo.Hakuna s
sehemu mbaya.
Asijizungushe zungushe 😆😅😅😅Sema umemis michepuko yako ya Dar