Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Unapata faida Gani kudanganya, wapi utakosa vibanda vya wakara wa pesa mtwara?.
Sasa nidanganye ili iweje kwani nalipwa au mpaka nikuletee post nilizopost Twitter kulalamikia mazingira ya Mtwara hata kabla ya kuona huu uzi. Ila nakuacha sababu tuko hapa kujenga sio kubomoa
 
Mtwara ingeishaga kuwa jiji kubwa siku nyingi tu, sijui ni kwa nini huo mji haukui wakati una vichocheo na mvuto wa kuwa jiji kubwa kusini mwa Tanzania
Itakuwa unakosa mchanganyiko wa watu mbalimbali
 
Umeona kila kitu kwako unakichukulia negative nimejaribu kuongea kuonyesha tu napafahamu vizuri ilo tu ila wewe umechukulia upande wa negative kuwa najimwambafai sio ivyo boss
Sawa ww kila sehemu unaijua. Its fine!
 
Sawa ww kila sehemu unaijua. Its fine!
Kubali kuelekezwa na penda kujifunza niambie sehemu gani nyingine nishawai sema napafahamu? Mtwara napafahamu nimeishi miaka mingi sana hapo up now kuna muda nafika mtwara
 
Huijui Mtwara ya miaka hiyo kabla ya daraja la Mkapa, Mtwara ya sasa iko juu sana na ina fursa ikiwemo korosho. Kulikuwa na mradi wa maji ya kutoka ndanda nafikiri ambayo si ya chumvi, usafiri kuja Dar ni kugusa tu.....unataka nini zaidi dada.​
 
Miji ya kusini Umwinyi mwingi, unamkuta kijana mdogo asubuhi tu kakupigia msuli na kibaraghasia kavalia upande haendi kazini, unafikiri wateendeleaje bila kufanya kazi ?.. labda kwa sasa kuna wimbi la wahamiaji Wasukuma wafugaji huenda wakaiinua mikao hiyo watapolima na kuzalisha chakula kingi..
Sasa kama watu wa mtwara hawafanyi kazi wanapataje mahitaji yao? Kati ya mtwara na kanda ya ziwa wapi kuliko na watu wengi wanaoishi maisha magumu sana?
 
Halafu uzi mzuri, mpunguze kuchangia kwa jazba ili mtoe point sio kuleta hasira zenu za kupambana na maisha mzimalizie kwenye uzi wa watu 😂
 
Huijui Mtwara ya miaka hiyo kabla ya daraja la Mkapa, Mtwara ya sasa iko juu sana na ina fursa ikiwemo korosho. Kulikuwa na mradi wa maji ya kutoka ndanda nafikiri ambayo si ya chumvi, usafiri kuja Dar ni kugusa tu.....unataka nini zaidi dada.​
Kipindi ambacho watu walikuwa wanalal darajani kwa mkapa kusubiri kivuko
 
Huijui Mtwara ya miaka hiyo kabla ya daraja la Mkapa, Mtwara ya sasa iko juu sana na ina fursa ikiwemo korosho. Kulikuwa na mradi wa maji ya kutoka ndanda nafikiri ambayo si ya chumvi, usafiri kuja Dar ni kugusa tu.....unataka nini zaidi dada.​
Nataka huduma za kijamii ziwe zinapatikna 24/7
Miundombinu iwe rafiki..watu wasifanye biashara kwa mazoea
Mtu unafunga duka saa 1 magharibi unamaanisha nini?
Ni nadra sana huku kukukuta wakala saa 3 amefungua nadra sana na ni wachache mno wanahesabika
 
Hapo kweli nampinga sababu boda huku wapo wengi na ndio usafiri mama, labda sijui mazingira aliyopo maana mimi niko maeneo ya Majengo Stend ya Zamani huku Chikongola
Kwa maelezo yake nahisi kama sio yupo zahanati ya mikindani sijui
 
Kubali kuelekezwa na penda kujifunza niambie sehemu gani nyingine nishawai sema napafahamu? Mtwara napafahamu nimeishi miaka mingi sana hapo up now kuna muda nafika mtwara
Ww utanifunza nini bablai!!
Huna unachokijua!kuishi kwako mtwara kusifanye ukabisha mambo ambayo ni fact...
 
Back
Top Bottom