antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Huyo mtoa mada si ni manzi, au?!Unachakata watoto wakimakonde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtoa mada si ni manzi, au?!Unachakata watoto wakimakonde
Umetembelea na Tripple V, Oxygen au Escape 41?, Pia usisahau kupita maeneo ya shanganiTangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Huyo kaenda kujiuza kwa lipaja paleHabar za mwamko brother nyamwi
kwahiyo unaishi hapohapo kwa lipaja unapojiuza?Kote nimefika
ephen_ kumbe huko Ntwara mna tabu namna hii?Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Na akipazoea tu hatokiMimi naungana na shemeji kusema “utazoea tu”. Itakuchukua muda ila kuna siku utashangaa umeshapazoea kabisa.
Kwao anapajua sasa? Anafikiri Dar ndoo kwao kumbe ni Shinyanga ndanindani huko!Maadamu kwenu kupo, hujafukuzwa, watu wa mtwara hawakuhitaji kivile, unaweza kurudi
Sawa..siku ukiwa na nafasi sema nikupeleke Msimbati.Wanaume wa kimakonde ni wambea sana wanaongea na kushushua kama wanawake!
Ndo maana hata sikushangai unavyobwabwaja hapa
Usiseme Mtwara Kuna Shida Ya Maji Mbona Mbezi Huku Kuna Shida Ya Maji Na Ni Dar Es Salaam? We Mleta Mada Tafuta Siku Moja Nenda Mikindani Ukifika Hapo Zunguka Huo Mji Ikibidi Tafuta Chumba Hapo.Mtwara Kuna shida kubwa ya maji na yote aliyosema mtoa mada ni ya ukweli mtupu labda kama wewe ni mzawa wa huko hizo kero unaziona ni sawa kwako
Kwani Kuwa Mmakonde Ni Kosa La Jinai?Ongea tu Chinga Wala Hakuna shida Mana najua mchana huu unaenda kufichama ule Chikandanga na mbaazi.
We pisi tutakurudisha pale JKCI ukaendelee kurekebisha mioyo ya watuTangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
wamakonde wamejisahau wenyewe wapo bize na vigoma usiisingizie serikali, hao watu wajitathmin wenyewe na watembee mikoa mingine wajifunze maana wanawaza sana minyanduo. angalia ukitoka huko usizoee tabia zaoTangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."
Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.
Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!
Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.
Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Mkuu wana umwinyi mwingi kumkuta mwanaume anapga umbea na kuchamba ni jambo la kawaida sanawamakonde wamejisahau wenyewe wapo bize na vigoma usiisingizie serikali, hao watu wajitathmin wenyewe na watembee mikoa mingine wajifunze maana wanawaza sana minyanduo. angalia ukitoka huko usizoee tabia zao
Usidandie usichokielewa Chinga.Kwani Kuwa Mmakonde Ni Kosa La Jinai?
Na Je Kabila Gani Ni Tukufu Kuliko Mengine Hapa Tanzania?
Au Wewe Kabila Lako Ni Bora Kuliko Wamakonde?
Acha Ushamba Dogo Mbona Una Tabia Za Kinyarwanda.
Inaonekana Utotoni Au Hata Sasa Hivi Umeshawahi!