Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

Huyo mtoa mada si ni manzi, au?!
Kwamba ananijua sana? Mpaka umuulize!
Sion haja ya kujadili jinsia yangu ni bora ajikite/ujikite kwenye mada
Niwe mwanamke, niwe mwanaume zote ni jinsia na wote ni binadamu
 
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.

Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."

Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.

Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!

Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.

Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
Umetembelea na Tripple V, Oxygen au Escape 41?, Pia usisahau kupita maeneo ya shangani
 
ephen_ kumbe huko Ntwara mna tabu namna hii?
 
Wanaume wa kimakonde ni wambea sana wanaongea na kushushua kama wanawake!
Ndo maana hata sikushangai unavyobwabwaja hapa
Sawa..siku ukiwa na nafasi sema nikupeleke Msimbati.
 
Mtwara Kuna shida kubwa ya maji na yote aliyosema mtoa mada ni ya ukweli mtupu labda kama wewe ni mzawa wa huko hizo kero unaziona ni sawa kwako
Usiseme Mtwara Kuna Shida Ya Maji Mbona Mbezi Huku Kuna Shida Ya Maji Na Ni Dar Es Salaam? We Mleta Mada Tafuta Siku Moja Nenda Mikindani Ukifika Hapo Zunguka Huo Mji Ikibidi Tafuta Chumba Hapo.

Mikindani Maji Ya Kumwaga Na Watu Wa Mtwara Mjini Wote Wanategemea Hapo Swala La Maji.
Vitu Bei Chini Hapo Ghari Ni Samaki Tu.
Narudia Nenda Mikindani Kafanye Maisha Utakuja Kunishukuru.
 
Ongea tu Chinga Wala Hakuna shida Mana najua mchana huu unaenda kufichama ule Chikandanga na mbaazi.
Kwani Kuwa Mmakonde Ni Kosa La Jinai?
Na Je Kabila Gani Ni Tukufu Kuliko Mengine Hapa Tanzania?
Au Wewe Kabila Lako Ni Bora Kuliko Wamakonde?
Acha Ushamba Dogo Mbona Una Tabia Za Kinyarwanda.

Inaonekana Utotoni Au Hata Sasa Hivi Umeshawahi!
 
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.

Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema, "Sawa, maadam ni mjini, kitu cha msingi ni huduma."

Tukachukua lodge (na lodge zenyewe maji hayatoki, wanategemea maji ya mvua... yani ni tafrani tupu!). To cut a long story short, maisha ya Mtwara ni magumu kwenye nyanja zote! Maji ni shida, bei ya vitu iko juu sana kuliko hata Dar es Salaam, na miundombinu hafifu inafanya usafiri kuwa wa tabu.

Huduma za kifedha ni chache na ziko mbali, yani kulala au kushinda njaa ukiwa na hela mfukoni ni kitu cha kawaida sana hapa!

Ikifika saa 3 usiku, barabarani ni nyeupe kabisa—huoni mtu, na maduka yanafungwa mapema. Viwanja vipo, lakini The Shooters ndicho kiwanja pekee nilichoelewa, na nikiwa hapo najihisi kama niko Dar es Salaam.

Serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa!
We pisi tutakurudisha pale JKCI ukaendelee kurekebisha mioyo ya watu
 
wamakonde wamejisahau wenyewe wapo bize na vigoma usiisingizie serikali, hao watu wajitathmin wenyewe na watembee mikoa mingine wajifunze maana wanawaza sana minyanduo. angalia ukitoka huko usizoee tabia zao
 
Mkuu wana umwinyi mwingi kumkuta mwanaume anapga umbea na kuchamba ni jambo la kawaida sana
Yani wanashangaza
Serikali ilaumiwe kwenye upande wa miundombinu kama hali ya miundombinu hapa mjini iko hivi huko interior itakuwa vipi!?
 
Pole sana mkuu, itakuwa umeshukia upande mbovu wa mji.

Ila mtwara pako vyedi tu , kuna hoteli safi na Beach kali tu.

Tafuta wenyeji wa kueleweka.
 
Kwani Kuwa Mmakonde Ni Kosa La Jinai?
Na Je Kabila Gani Ni Tukufu Kuliko Mengine Hapa Tanzania?
Au Wewe Kabila Lako Ni Bora Kuliko Wamakonde?
Acha Ushamba Dogo Mbona Una Tabia Za Kinyarwanda.

Inaonekana Utotoni Au Hata Sasa Hivi Umeshawahi!
Usidandie usichokielewa Chinga.
 
Back
Top Bottom