Nipo na uhitaji wa ajira ya usalama wa nchi, nina vigezo hivi

Tanzania wala haviitqjiki hivo vigezo wewe! Ni connection tu. Na majivuno ni sehemu ya sifa. Tupo nao, hovyoo
 
Ukihitajika Utaitwa. Ukimulikwa utaonwa.
 
Kila mtu ni afsa usalama, wewe endelea na majukumu Yako ila jua hilo.. siku ukitakiwa kutoa ushirikiano kwa tukio lolote la usalama usisite kufanya hivyo maana kuficha kwa makusudi ama kwa bahati mbaya viashiria vyovyote vinavyohatarisha usalama wa raia, taifa ama mali za raia ni kosa kubwa sana Mzee. Hapo ulipo sema kwa sauti kubwa kuwa MIMI NI AFISA USALAMA.
 
Bora, wewe umeamua kufunguka kabisa mwenzio,Kila ninapoishi watu wananishuku ni usalama wa taifa kisa eti muonekano wangu,nachukia sana,maana ni kazi ambayo ipo moyoni mwangu Lakini naishia tu kuogopwa na Wana kumbe hakuna lolote daaah wenye mamlaka mko wap
 
Subiri kazi zipo nyingi tu,Kuna utendaji wa kata vigezo ni hivyo hivyo,ubalozi wa nyumba kumi kumi,zote zitakuwezesha kuwa karibu na serikali nakushona kaunda suti...Mwisho;jitahidi kuanza kilimo cha bustani na mbogamboga upate pesa ya kujikimu Inaonekana unapenda Raha maisha siyo marahisi kihivyo
 
Spies are fantasists. Hongera mdau. Kuwa kitengoni ni privilege coz it is an exclusive club to join. Ni career yenye handsomely rewards ila upande wa pili kuna price utalipia. Je utakuwa tayari kufuatiliwa na wewe? Maana 90% ya majukumu ni umbea gatherings . Je utaweza ku cover up dili chafu za ur senior on top? NB: usiichukulie comment hii siriaz sana maana mi kapuku kama kapuku wengne.
 
Unajua vetting changamoto yake ni wanaotafuta taarifa zako hawakupi nafasi wewe kutolea ufafanuzi baadhi mambo ndiomana wengi wanakosa unakutana na Wana wanakusiribia kinomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…