Kuna scenario moja ilishawahi kutokea miaka ya nyuma, shahidi alijikuta anapigwa dole mahakamani.Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa serikari niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi .
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.
Mahakamani hawajawahi kuyawekea mkazo maelezo ya kutoka polisi kwasababu polisi wetu wanafahamika huwa wanauliza maswali wakati huo wana majibu yao ambayo utake usitake watayaandika.Zingatia kile ulichokisema kule polis na unapoulizwa maswali na hakimu au mwanasheria jibu ndio au hapana na sio vinginevyo.
Ukitakiwa kutoa maelezo jinsi tukio lilivyokuwa anza na siku ya tarehe husika majira unakadilia Kati ya muda flan mpk muda flan usije ukajiumauma kwani ukigundulika unasema uwongo vifungu vya kukushtaki vipo wazi.
Kufa sio tatizo, nikifa leo yeye atakufa kesho tutatofautiana siku ya maziko tu,Kuna mmoja Tanga alikwenda kutoa ushahidi, akiwa anajiandaa kutoa ushahidi ghafla alidondoka na kufa pale pale. Mashahidi wengine hawakua tayari kutoa ushahidi.
Kama Ni kesi ya viwanja andika wosia kabisa.
Zingatia ushahidiWanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.
Hapo kwenye kucheka hapo fafanua mkuu kidogoMahakamani hata Kama kitu kinachekesha husiche, kuwa muwazi na mkweli unachosema usikisahau ukiulizwa Tena utaonekana muongo, hongera kwa kusubutu watu Kama nyinyi tunawataka ktk jamii zetu, mtu kaonewa kwanini uogope kusema ukweli au kutoa ushahidi, usitishike Wala kuwa na mawazo nenda kasimamie ukweli wa haki.
Mahakamani hata Kama kitu kinachekesha husiche, kuwa muwazi na mkweli unachosema usikisahau ukiulizwa Tena utaonekana muongo, hongera kwa kusubutu watu Kama nyinyi tunawataka ktk jamii zetu, mtu kaonewa kwanini uogope kusema ukweli au kutoa ushahidi, usitishike Wala kuwa na mawazo nenda kasimamie ukweli wa haki.
Ndo hivyo, we nenda kasikilize kesi kitu kichekeshe cheka alafu utuletee Uzi kitakachotokea Nini.Hapo kwenye kucheka hapo fafanua mkuu kidogo
Hata kama ww ni msikilizaji mkuuNdo hivyo, we nenda kasikilize kesi kitu kichekeshe cheka alafu utuletee Uzi kitakachotokea Nini.
Sasa, we hujui kumbe, ndomana kule Kama unajiona huwezi usiende kusikilizaga kesi, wanaruhusu tu watu kwenda kusikiliza.Hata kama ww ni msikilizaji mkuu
Kuna mmoja Tanga alikwenda kutoa ushahidi, akiwa anajiandaa kutoa ushahidi ghafla alidondoka na kufa pale pale. Mashahidi wengine hawakuwa tayari kutoa ushahidi.
Kama Ni kesi ya viwanja andika wosia kabisa.
Kusema wenyewe wapo serious mda wote kuna mambo mengine hata hakimu mwenyewe anaweza kuchekaSasa, we hujui kumbe, ndomana kule Kama unajiona huwezi usiende kusikilizaga kesi, wanaruhusu tu watu kwenda kusikiliza.