jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Simama kwenye ukweli na wala usiogope Mahakama iko poa, kama kuna vielelezo vya kuingiza mahakamani kwa ajili ya ushahidi jaribu kua na kumbukumbu navyo, usiogope maswali ya dodoso, yakiwa yakijinga Wakili wa serikali atayapangua kulingana na vifungu vya sheria, kwa kifupi wwe unalindwa na DPP na gharama zako anakulipa baada ya kutoa ushahid!!Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.