Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Kama ya kubaka nenda kaongeze chumviii kabisaaa jamaaa akae nyuma ya nondo swain.....Kufa sio tatizo, nikifa leo yeye atakufa kesho tutatofautiana siku ya maziko tu,
Sikihofii kifo kwa sababu najua kipo na lazima kinikute.
Nb
Sio kesi ya viwanja ni kesi ya vijana wa hovyo wasioweza kufunga zipu zao vizuri ata kwa watoto wadogo.
Hasa huyo hakimu, fanya wewe au Mimi kibao kinageuka ndugu.Kusema wenyewe wapo serious mda wote kuna mambo mengine hata hakimu mwenyewe anaweza kucheka
Simu kuitaSasa, we hujui kumbe, ndomana kule Kama unajiona huwezi usiende kusikilizaga kesi, wanaruhusu tu watu kwenda kusikiliza.
Kutoa ushahidi sio kazi nzito cos unaelezea kile ulichoshuhudia tu. Usithubutu kusema uongo maana utahitajika tena uenda leo au siku nyingine kwaajili ya kitu kinaitwa Cross Examination! Hapa kama sio watuhumiwa basi mwanasheria wa upande wa utetezi watachallange ushahidi wako ili kukuvuruga na kuharibu ushahidi wako.Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.
Wangeweka tangazo kubwa kwamba ukiwa mahakami huruhusiwi kucheka.Mahakamani hata Kama kitu kinachekesha husicheke kuwa muwazi na mkweli unachosema usikisahau ukiulizwa Tena utaonekana muongo, hongera kwa kusubutu watu Kama nyinyi tunawataka ktk jamii zetu, mtu kaonewa kwanini uogope kusema ukweli au kutoa ushahidi, usitishike Wala kuwa na mawazo nenda kasimamie ukweli wa haki.
sio kweli mkuu labda kama vifungu vimebadilishwa juz, coz nimeuzuria kesi aina tano ubakaji, ardhi, madawa, uhujumu, na zote hz watu wanapotolea ushaid kuna vitu vinavunja mbavu unacheka mpakaa ila tu unachek kiutu uzima hahahahaha ikipigwa stop una kata loud unacheka silentSasa, we hujui kumbe, ndomana kule Kama unajiona huwezi usiende kusikilizaga kesi, wanaruhusu tu watu kwenda kusikiliza.
Hakikisha pia uwe umeshawaaga wana Familia wako ( hasa nani wa kukuletea Ugali, Maharage, Dagaa na Tembele ukiwa Rumande au Gerezani ) kwani kwa Ushahidi ambao unaenda Kuutoa huko Mahakamani na hivi unavyoonekana Unaogopa na huna a, b, c's za Kesi na Ujibuji wa Maswali unaweza ukajumuishwa na huyo unayeenda Kumtetea na tusikuone tena Ukichangia hapa JamiiForums.Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.
Sasa shida nini hapo..Hasa huyo hakimu, fanya wewe au Mimi kibao kinageuka ndugu.
Wanasheria wa Serikali hutengeneza maswali na majibu kisha humpa shahidi akajibu kadri ya walivyo muuliza. Lengo la Wakili wa Serikali ni kushinda kesi kwa manufaa ya Serikali.Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.
ingekuwa hivyo watu wasingeenda kutoa ushahidiHakikisha pia uwe umeshawaaga wana Familia wako ( hasa nani wa kukuletea Ugali, Maharage, Dagaa na Tembele ukiwa Rumande au Gerezani ) kwani kwa Ushahidi ambao unaenda Kuutoa huko Mahakamani na hivi unavyoonekana Unaogopa na huna a, b, c's za Kesi na Ujibuji wa Maswali unaweza ukajumuishwa na huyo unayeenda Kumtetea na tusikuone tena Ukichangia hapa JamiiForums.
Pia usisahau kuwaambia kuwa yote haya ni matokeo ya Uzi wako wa kula kimasihara ndio umetengeneza vijana wengi wa hovyo nao wanataka kujaribu mwisho wanafanya ivyo.Kufa sio tatizo, nikifa leo yeye atakufa kesho tutatofautiana siku ya maziko tu,
Sikihofii kifo kwa sababu najua kipo na lazima kinikute.
Nb
Sio kesi ya viwanja ni kesi ya vijana wa hovyo wasioweza kufunga zipu zao vizuri ata kwa watoto wadogo.
kwani huyu na rick boy ni i d mojaPia usisahau kuwaambia kuwa yote haya ni matokeo ya Uzi wako wa kula kimasihara ndio umetengeneza vijana wengi wa hovyo nao wanataka kujaribu mwisho wanafanya ivyo.
Kuwa, na, kitambulisho chako chochote, pili SEMA ukweli tu, usitie chumvi wala kuongea uongo.Wanasheria na wazoefu ambao mmewahi fika mahakamani, nimepigiwa simu na mwanasheria wa Serikali niende nikatoe ushahidi.
Kuna tukio lilitokea na mimi ni mmoja kati ya walioshuhudia.
Kipi cha kuzingatia wakati wa kutoa ushahidi.
NB: Nilishatoa maelezo polisi ila leo ndio siku ya kutoa ushahidi mahakamani.