Nipo naelekea mahakamani kwenda kutoa ushahidi, kipi cha kuzingatia?

Simama kwenye ukweli na wala usiogope Mahakama iko poa, kama kuna vielelezo vya kuingiza mahakamani kwa ajili ya ushahidi jaribu kua na kumbukumbu navyo, usiogope maswali ya dodoso, yakiwa yakijinga Wakili wa serikali atayapangua kulingana na vifungu vya sheria, kwa kifupi wwe unalindwa na DPP na gharama zako anakulipa baada ya kutoa ushahid!!
 
Sikupingi ni mawazo yako.
 
Inategemea. Kucheka sio kosa kisheria kwa sababu ni kitu kinakuja naturally. Ila kuchekacheka au kujichekesha inaweza kuwa shida.
Ni sawa useme mtu akiwa anatoa ushahidi asilie.
N
Wakati nipo chuo nilipangiwa kwenda field mahakamani ya mkoa, nikaambiwa hapa hakuna Mambo ya kuchekacheka hovyo, nikaogopa nikaenda kwingine.
 
Wangeweka tangazo kubwa kwamba ukiwa mahakami huruhusiwi kucheka.
Wengine hatuwezi kuzuia kicheko[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi naona kabisa Mungu anisaidie nisije kukanyaga huko maana siwezi kujizuia kucheka, kwanza yale wanavaa kichwani kama mvi nikija kuyaona live mimi kwisha[emoji1787]
 
Kutoa ushahidi mahakamani upande wa mashtaka..maana yake ni ili mshitakiwa ale mvua..na Kama ni kesi kubwa kuwa makini,usijeacha watoto wanateseka
 
Kutoa ushahidi mahakamani upande wa mashtaka..maana yake ni ili mshitakiwa ale mvua..na Kama ni kesi kubwa kuwa makini,usijeacha watoto wanateseka
We unaogopa kufa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…