crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Ngoja nimtag GENTAMYCINE atoe muongozo kuhusiana na hili..Wakikua wakubwa lazima wawe na tabia za kina GENTAMYCINE
Nikafkiri enzi zile TV hazina hata remote na channel ni hio hio moja. Kwa zanzibar ilikuwa TVZ [emoji23]Si mnawasikilizisha majumbani mwenu?
Enzi zetu redio inawashwa baba akiwepo tuu, na tv kama ipo basi remote anashika baba au mama, na kama kuna kipindi wakubwa wanataka kuangalia watoto mnafukuzwa.
Kwa dunia ya sasa ni ngumu kufanya ivo, lakini kuna kitu kinaitwa "Parental Control" kwenye teknolojia ya sasa. Wazazi wengi wa Kiafrika hiki kitu hawakizingatii, ila wenzetu wazungu wako strict ile mbaya.
Zile za 'Kukuweka' vizuri au?Wakikua wakubwa lazima wawe na tabia za kina GENTAMYCINE
Zuchu anaharibu Sana watoto wetu. Yaan unakuta kitoto cha miaka mi3 kinaimba nyimbo yake nzima bila kukosea hata neno.
Ajitahidi kuandika mashahiri rafiki kwa watoto pia maana wengi wanazipenda nyimbo zake.