Nipo nawaza...

Kumbe mahari Siku hizi inapangwa na muolewaji?

Hongera sana Binti πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Ilikuwa inapangwa na Wazee wa binti muolewaji. Yeye anapewa taarifa tu
Anaye stahiili kupewa mahari ni kuolewaji hii ni kwa mujibu wa dini ya kiislamu
Muolewawaji husema mahari anayotaka muoaji aitoe.
Muolewaji anaweza kuwapa wazazi fungu la mahari aliyotolewa (hii ni hiari)
 
Anaye stahiili kupewa mahari ni kuolewaji hii ni kwa mujibu wa dini ya kiislamu
Muolewawaji huseama mahari anayotaka muoaji aitoe.
Muolewaji anaweza kukawapa fungu la mahari aliyotolewa (hii ni hiari)
Nadhani taratibu zinatofautiana kutoka jamii Moja hadi nyingine.

Wakati naenda Kuoa, Wazee wa Mke wangu ndiyo walikaa kunipangia mahari ya kutoa.

Na Mimi sikupewa moja Kwa Moja isipokuwa Mshenga wangu ndiyo alipewa Kwa niaba yangu.

Then ile mahari ilitumika kumfanyia Wife send off pamoja na masafirisho ya mizigo maana alipewa zawadi nyingi Siku ya harusi yake
 
Kwa waislamu wanaofanya hivo wanakiuka Sheria na taratibu za dini zinavosema.
Nisijue madhehebu mengine wanafanyaje.
 
Kwa waislamu wanaofanya hivo wanakiuka Sheria na taratibu za dini zinavosema.
Nisijue madhehebu mengine wanafanyaje.
Kuhusu Waislamu sifahamu sana, ina maana hakuna Wazee wanaopokea mahari Kwa niaba ya Binti?
 
Kura imekuangukia wewe ujue 😜

Halafu nipe shikamoo yangu Mjukuu kabla sijakupa adhabu ya kuniletea Kiko Kila Mwezi 😜 πŸ€—
Yani ww bana hahahah yani umekuja na gia ya uzee hutaki usumbufu kutoka kwa wadangaji humu...hahahahahhaa πŸ˜† 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Yani ww bana hahahah yani umekuja na gia ya uzee hutaki usumbufu kutoka kwa wadangaji humu...hahahahahhaa πŸ˜† 🀣 🀣 🀣 🀣
Hivi huamini kama nimeenda age?

Angalia profile yangu uone Mwaka niliozaliwa, nimekula chumvi nyingi Mjukuu πŸ€—

By the way Kwa umri huu, I have nothing to do with those girls. Nikijichanganya Kwa Uzee huu sichelewi kufia kwenye Vinena ujue 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…