Nipo nawaza...

Nipo nawaza...

Kumbe mahari Siku hizi inapangwa na muolewaji?

Hongera sana Binti ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Ilikuwa inapangwa na Wazee wa binti muolewaji. Yeye anapewa taarifa tu
Anaye stahiili kupewa mahari ni kuolewaji hii ni kwa mujibu wa dini ya kiislamu
Muolewawaji husema mahari anayotaka muoaji aitoe.
Muolewaji anaweza kuwapa wazazi fungu la mahari aliyotolewa (hii ni hiari)
 
Anaye stahiili kupewa mahari ni kuolewaji hii ni kwa mujibu wa dini ya kiislamu
Muolewawaji huseama mahari anayotaka muoaji aitoe.
Muolewaji anaweza kukawapa fungu la mahari aliyotolewa (hii ni hiari)
Nadhani taratibu zinatofautiana kutoka jamii Moja hadi nyingine.

Wakati naenda Kuoa, Wazee wa Mke wangu ndiyo walikaa kunipangia mahari ya kutoa.

Na Mimi sikupewa moja Kwa Moja isipokuwa Mshenga wangu ndiyo alipewa Kwa niaba yangu.

Then ile mahari ilitumika kumfanyia Wife send off pamoja na masafirisho ya mizigo maana alipewa zawadi nyingi Siku ya harusi yake
 
Kwa waislamu wanaofanya hivo wanakiuka Sheria na taratibu za dini zinavosema.
Nisijue madhehebu mengine wanafanyaje.
 
Kura imekuangukia wewe ujue ๐Ÿ˜œ

Halafu nipe shikamoo yangu Mjukuu kabla sijakupa adhabu ya kuniletea Kiko Kila Mwezi ๐Ÿ˜œ ๐Ÿค—
Yani ww bana hahahah yani umekuja na gia ya uzee hutaki usumbufu kutoka kwa wadangaji humu...hahahahahhaa ๐Ÿ˜† ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Yani ww bana hahahah yani umekuja na gia ya uzee hutaki usumbufu kutoka kwa wadangaji humu...hahahahahhaa ๐Ÿ˜† ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Hivi huamini kama nimeenda age?

Angalia profile yangu uone Mwaka niliozaliwa, nimekula chumvi nyingi Mjukuu ๐Ÿค—

By the way Kwa umri huu, I have nothing to do with those girls. Nikijichanganya Kwa Uzee huu sichelewi kufia kwenye Vinena ujue ๐Ÿ˜œ
 
Back
Top Bottom