Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂 asije akajipupulia bure ndotoniHebu amka mwayaa!! Ndoa zina wenyewe, na wenyewe sio wee.
Poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 asije akajipupulia bure ndotoniHebu amka mwayaa!! Ndoa zina wenyewe, na wenyewe sio wee.
Poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana tayana.Kiasi Fulani Babu...
Nimezika mama mzazi🙇
Uko sahihi mkuuTafuta Hela🤗
Huenda ni yeye, nae hua ana nyuzi za ajabu ajabu namna hii.Nime kufananisha na Unique Flower
AsantePole sana Mjukuu, I didn't know this
Kama sijachelewa nicheki nikutumie mkono wa pole.
I'm real sorry for your loss
Asante sana🙏🤝Jamani pole mpendwa..may her soul rest in peace...
Asante sn 🙏🤝Pole sana tayana.
Pole sana Mjukuu, nafahamu machungu unayopitia.Asante
Ni wiki ya 2 now
Nimeanza kumuuguza Feb katikati ndo maana humu nilipotea.
So napitia trauma 🙁 kumbe sio rahisi.
Nitakuja inbox
Asante sanaPole sana Mjukuu, nafahamu machungu unayopitia.
Ni maombi yangu, Mungu akupe ujasiri wa kuendelea kustahimili mapito unayopitia.
Karibu 🙏
Iweeeee!!! Kwahiyo wataachana tu?Hebu amka mwayaa!! Ndoa zina wenyewe, na wenyewe sio wee.
Poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana Mkuu 🙏 🙏Asante sana
Kwakweli sikia Kwa mtu tu
Yesu wangu😢Kiasi Fulani Babu...
Nimezika mama mzazi🙇
🙏NdioYesu wangu😢
Jamani💔
Pole Sana Wizo,
Kumbe tangu kipindi kile hali ikawa serious?
Pole sana Mpenzi,
Bwana na akuvushe katika kipindi hiki kigumu.
Una kuja kwa kasi sana ume amua kumrith Unique Flower au katoto kazuri kwa kuandika upupu dailyBasi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.
Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo safarini Ile hali amazing ( Ooh.. my.. God!!)haikai kwa muda mrefu!!! Ujue ingekaa angalau hata sekunde 120 ungekuwa unyama.
Mimi Huwa inalast to 15-25sec
Anyways Jana metolewa mahari nusu., mahari iliyobakia ameahidi kumalizia at the end of this month (by the grace of God)
Na hapo ndipo tarehe ya harusi itapopangwa.
Mahali nilimwambia anipe 10M YEYE akasema atanipa 7M.
Ni hayo..
Kweli mkuu. 10M parefu.Hata kama sealed ni ushenzi