nyasangaboy
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 127
- 58
Hapo sasa!! ni heri uombe assist kwa kipa kama ipo usaidike lakini sio ukusanye virago urudi muanze kupishana koridoni na kipa. Haipendezi..Unaanzaje kurudisha mpira kwa kipa?
Sio kwamba naishi Naye hapana nipo mwenyewe na kazi sina kwa sasa so naona mwanzo wa stressUkirudi tu, umeisha. Endelea kuwa mario tu, manzi akulipie kodi. Ila usije ukamtupa ikiwezekana oa huyo huyo. An future plans na mipango mema na wewe
Hapo muhimu food ambayo kwa sasa sichezi mbali na homFood, shelter and clothes. Basic needs.
Zingatia Sana.
Kweli kabsa maana mambo sio mamboKipa pia mchezaji.
Sasa kama mambo hayaeleweki si ndo mwanzo wa stressHapo sasa!! ni heri uombe assist kwa kipa kama ipo usaidike lakini sio ukusanye virago urudi muanze kupishana koridoni na kipa. Haipendezi..
Shukrani kwa ushauri murua mkuuUsifanye kosa kurudi nyumbani, kama mpenzi wako atakusaidia ni sawa ila pambana mpaka kieleweki usije itwa marioo na huyo binti umuoe kabisa ni wife material sio material wife.
Yah lakini zisiwe stress mbaya tu, ukizidiwa omba assistSasa kama mambo hayaeleweki si ndo mwanzo wa stress