Nipo njia panda kuhusu kuendelea kuishi ghetto. Ushauri wenu unaitajika

Nipo njia panda kuhusu kuendelea kuishi ghetto. Ushauri wenu unaitajika

Habari zenu wadau, nilikuwa naomba ushauri kutoka kwenu wadau ni hivi ninapoishi kodi yangu inakaribia kuisha nataka kurudi nyumbani kwa mzee. Na sababu ya kutaka kurudi nyumbani na kuacha kupanga kwa sababu ya kutokuwa na kazi kwa sasa so hela ya kodi sina.

Lakini girlfriend wangu amekataa nisirudi nyumbani niendelee kupanga yeye atanisaidia Kodi, so nilikuwa naomba ushauri niendelee kuisha kwa kulinga unga ghetto au nirudi tu nyumbani nikajipange upya.
Kama demu wako ana kazi inayoeleweka basi usirudi nyumbani endelea kukomaa hapo huku unatafuta kazi au hata vibarua vya kueleweka. Ila kama kazi ya demu wako haieleweki basi omba hela kutoka home au rudi kabisa. Maana isije ikawa demu wako anapewa na mamen wake wengine halafu ndo anakusupport wewe
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Nilivuka salama
 
Back
Top Bottom