nyasangaboy
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 127
- 58
- Thread starter
-
- #21
Asante kwa ushauri wako lakini nyumbani na ghetto sio mbaliShukuru Mungu umepata mwanamke anayejitambua. Unarudi nyumbani kufanya nini? Kumbuka hata baba yako na mama yako walipitia changamoto hizi lakini wakakaza na hawakutaka kurudi nyumbani, walikopa na kufanya kazi zozote ili wapate ridhiki kipindi hicho cha hali ngumu na kilipita.
Baki kwenye gheto lako na fanya kazi yoyote ile inayokuja mbele yako. Hakuna pesa inayopatikana kirahisi kwahiyo ni kupambana tu.
Kama nmezidiwa jeUnaanzaje kurudisha mpira kwa kipa?
Asante kwa ushauri wako lakini nyumbani na ghetto sio mbali
Kama nmezidiwa je
Hamna nmejarbu kofos mishe lakin hazieleweki ndo mana nguvu ya kuendelea kukaa ghetto inapunguaInaonekana nyumbani unapapenda? Mwanaume ni kupambana, kuumiza kichwa ili uangalie namna gani utapata pesa. Shukuru umepata mwanamke anayekujali.
UNAPENDA KULA UGALI WA SHIKAMOO?
😀😀😀😀wew bhna laana ya nn sasa ....nina malengo naye ndomana ameguswa kunisaidiaUmezidiwa kivipi wakati kuna mtu unasem amejitolea kukupiga tagi la kodi?
Sema labda huyo mpenzi wako huna malengo naye, na laana. Yako ndipo itaanzia hapa
Shukrani kwa kunitia moyo.Ukirudi tu, umeisha. Endelea kuwa mario tu, manzi akulipie kodi. Ila usije ukamtupa ikiwezekana oa huyo huyo. An future plans na mipango mema na wewe
Hamna nmejarbu kofos mishe lakin hazieleweki ndo mana nguvu ya kuendelea kukaa ghetto inapungua
Mhenga umetoa ushauri wa KIUME😆😆😆Ukirudi nyumbani hadi kuku atakudharau.
Asante sana kwa ushauri wako nmeupolea kwa mikono miwili.Usirudi nyumbani, maisha yanaenda mbele hayarudi nyuma.... pambana kama vile wazazi wako hawana pa kukuhifadhi
Kazi ni ngumu siku zote, ukubwa ni majukumu mwanangu. Pambana kadri uwezavyo, umri ungali mdogo fanya hata vibarua visivyo rasmi !!
Girlfriend anaweza kukusaidia lakini iwe umeshindwa kabisaa na isiwe mazoea. Unaweza hata kutafuta chumba cha bei rahisi zaidi ili mradi tuu paitwe nyumbani kwa nyasangaboy . Wanawake tumeumbwa tofauti kidogo, kuna vitu tunaweza kufanya tukiwa na mapenzi lakini vikija kutuchosha inakua aibu kwa mwanaume-uchebe anaelewa.
...ukiweza pambana sana usimame mwenyewe maana ndio maandalizi ya ubaba hayo. Itakujengea kujiamini na heshma pia. Baba bora ni yule anayeweza kusimamia mipango ya nyumba yake na kumuongoza mke wake kwa matendo
Huyo gf anakupennda tunza sana moyo wake. Usimbadilishe
Asante nimepata nguvu ya kuendelea kupambana.Kwa vile mdada kajitolea. Hebu endelea kukaa gheto kwasababu maisha ndivyo yalivyo
Nyumbani ugali wa shikamoo, mara mzinguane na madogo n.k
Kila la heri sonAsante sana kwa ushauri wako nmeupolea kwa mikono miwili.
Aaaah!!sio kiivyoUkirudi nyumbani hadi kuku atakudharau.
Asante nimepata nguvu ya kuendelea kupambana.
Umekuja kutibua uziKulipiwa kodi na girlfriend aibu sana.