Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Aisee kwaniniWanawake tuna unyoka wa ajabuuuu
Nampenda MkuuUnatafuta support ya kumuacha! Coz tayar ushamuacha kutoka moyoni na cdhan km unampenda!
Kwanini mkuuUsimuache
Kwanini mkuu
Mkuu Nishauri, Usiipondemuache tu mtoto wa watu kwa amani. Haiwezekani upo kwenye mahusiano na mtoto wa watu ambaye unajidai bado unampenda sana kwa miaka miwili, leo unakuja na hichi kituko, hujui nini unachokitaka.
Nina nia ya dhati ya kumuoa mkuu ila sina imani kama nitafanikiwaHivi mnapotakaga kuanzisha mahusiano ya kimapenzi hamuwazagi future ya hayo mahusiano ??
Anyway,,,kwa watz wengi tunaanzisha mahusiano kwa ajili ya kutomb.ana tu
Asante MkuuKwasababu huna sababu ya kumuacha
Kuwa na nia pekee haitoshi, mfanyie kwa vitendo ajue kweli kampata mume wa maisha yake! But tatizo ninaloliona hapo ninyi wote bado watoto mahusiano yenu hayawezi kuwa serious.... Muda wa kuonja onja Kwanzaa then ndoa ifuate[emoji125] [emoji125]Nina nia ya dhati ya kumuoa mkuu ila sina imani kama nitafanikiwa
Very sensitive point, asante sanaKuwa na nia pekee haitoshi, mfanyie kwa vitendo ajue kweli kampata mume wa maisha yake! But tatizo ninaloliona hapo ninyi wote bado watoto mahusiano yenu hayawezi kuwa serious.... Muda wa kuonja onja Kwanzaa then ndoa ifuate[emoji125] [emoji125]
Hapa sijakuelewaKi keep busy huku mike dekes na mawasiliano. Akianza chuo na wewe kama una ajira an za masters program.
Mkiachana hutajuta kuwa ulipoteza muda kwakua una mambo unaendeleza.
Pole sana Mkuuakanitel kuwa anamepata mchumba na home kwao wanamtambua so nikaona siwe case let me move had leo
Amina kakakomaa nae kaka mungu ndiye ajuaye ya kesho