Nipo Njia Panda, Nipeni Mawazo yenu!

Nipo Njia Panda, Nipeni Mawazo yenu!

Kwa hiyo hapo ndio upo njia panda? Huwa mnanichekesha sana nyie madogo mnajiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi wakati umri wenu bado mdogo, mnafikiri mapenzi ni ule utamu wa sambusa na karoti kumbe kuna vitu vingine vya ziada.

Wewe kama umeshafikiria kumuacha, muache tu mtoto wa watu kwa amani. Haiwezekani upo kwenye mahusiano na mtoto wa watu ambaye unajidai bado unampenda sana kwa miaka miwili, leo unakuja na hichi kituko, hujui nini unachokitaka.
 
Hivi mnapotakaga kuanzisha mahusiano ya kimapenzi hamuwazagi future ya hayo mahusiano ??
Anyway,,,kwa watz wengi tunaanzisha mahusiano kwa ajili ya kutomb.ana tu
 
muache tu mtoto wa watu kwa amani. Haiwezekani upo kwenye mahusiano na mtoto wa watu ambaye unajidai bado unampenda sana kwa miaka miwili, leo unakuja na hichi kituko, hujui nini unachokitaka.
Mkuu Nishauri, Usiiponde
 
Hivi mnapotakaga kuanzisha mahusiano ya kimapenzi hamuwazagi future ya hayo mahusiano ??
Anyway,,,kwa watz wengi tunaanzisha mahusiano kwa ajili ya kutomb.ana tu
Nina nia ya dhati ya kumuoa mkuu ila sina imani kama nitafanikiwa
 
Nina nia ya dhati ya kumuoa mkuu ila sina imani kama nitafanikiwa
Kuwa na nia pekee haitoshi, mfanyie kwa vitendo ajue kweli kampata mume wa maisha yake! But tatizo ninaloliona hapo ninyi wote bado watoto mahusiano yenu hayawezi kuwa serious.... Muda wa kuonja onja Kwanzaa then ndoa ifuate[emoji125] [emoji125]
 
Ji keep busy huku mikiendelea na mawasiliano. Akianza chuo na wewe kama una ajira an za masters program.

Mkiachana hutajuta kuwa ulipoteza muda kwakua una mambo unaendeleza.
 
Zingatia masomo aisee coz me yalinikuta kama hayo ya kuweka exceptions kwa mtoto wa kike baada ya kuwa nae kwa muda wa kutosha at least 3yrs so nikiwa namalizia last semester nikaanza kuona mabadiliko kumuuliza anajibu hakuna kitu baadae ya kurud home mtoto amechange full na kila nikimhitaj alikuwa anatoa sababu zisizo na msingi so one day tukaonana baada ya sex ndo akanitel kuwa anamepata mchumba na home kwao wanamtambua so nikaona siwe case let me move had leo
 
Kuwa na nia pekee haitoshi, mfanyie kwa vitendo ajue kweli kampata mume wa maisha yake! But tatizo ninaloliona hapo ninyi wote bado watoto mahusiano yenu hayawezi kuwa serious.... Muda wa kuonja onja Kwanzaa then ndoa ifuate[emoji125] [emoji125]
Very sensitive point, asante sana
 
Ki keep busy huku mike dekes na mawasiliano. Akianza chuo na wewe kama una ajira an za masters program.

Mkiachana hutajuta kuwa ulipoteza muda kwakua una mambo unaendeleza.
Hapa sijakuelewa
 
Back
Top Bottom